Lissu Hana KESI yoyote kwanza Mimi ningekua katuga ningeweka wazi hadharani..issues of tyty security are normal gentleman, regardless on how you perceive free courts of Tanzania 🐒
sasa mbona Amani, Brenda na heche wamemkaanga na kumsagia vizuri sana pale kizimbani na ni mashahidi wake?Lissu Hana KESI yoyote kwanza Mimi ningekua katuga ningeweka wazi hadharani..
Leo dar es salaam ni mvua day
Kakasasa mbona Amani, Brenda na heche wamemkaanga na kumsagia vizuri sana pale kizimbani na ni mashahidi wake?
ina maana hawataki atoke bali apigwa kitanzi, right? au hukuona mikaango yao gentleman?🐒
Andika tu Kiswahili mzee wangu, mbona rahisi tu!as visionary politician in this beautiful country, I can see things coming as it is from far 🐒
sasa mbona unatapatapa sana gentleman? una mambo mengi sana leo right?🐒Kaka
Tatizo lako unaji Zima data
Kati ya katambi na akili kubwa LISU je ni nani alitakiwa kuwa waziri?! Jijibu mwenyewe
Umeiona picha chivayo kamu hug mama hata bado EDA haijaisha
Na kila mwana Chadema atakuwa nabii na kuja na utabiri wake!Huzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha jumbe za kutafuta kiki na public sympathy zitaanza kufurika,
na kwa unafiki, maombi ya kipepo na
vifungu vya bibilia vitaanza kutumika na Mwenyezi Mungu ataanza kukumbukwa siku hiyo, wakati huo mambo yatakua yameisha tayari.
Hata hivyo,
mshindi wa yote atakua ni sheria na katiba ya Tanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Ahahahahaha! Kwakweli!Mungu atatajwa sana siku hiyo hadi atashangaa mwenyewe kwamba kulikoni leo.🐒
Imekuuma gentleman haaahaa 😂 kunywa maji mengi pumzika leosasa mbona unatapatapa sana gentleman? una mambo mengi sana leo right?🐒
Hakika gentleman.Yes,
among visionary politicians of this beautiful nation 🐒
Chivayo gentlemankivipi sasa gentleman kwa mfano?
maana leo naona unabadili gia sana tu. halafu sometimes unakanyaga mafuta na breki kwa pamoja 🤣
KakaHakika gentleman.