Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hapa tumtafute Abdul nondo😁😔kwani ukitekwa na kutua kwa Ashura segerea kuna ubaya gani?
mbona Diwani alitukizwa wiki nzima kwa Ashura na akatoka fresh tu 🐒
Hapa tumtafute Abdul nondo😁😔kwani ukitekwa na kutua kwa Ashura segerea kuna ubaya gani?
mbona Diwani alitukizwa wiki nzima kwa Ashura na akatoka fresh tu 🐒
hakuna mzaha kwenye masuala ya ulinzi na usalama wa waTanzania wote gentleman.Nyie fanyeni dhihaka na maisha ya watu, siku hiyo itakua ndiyo "Referundum" kwa hukumu yoyote ikitolewa, aachiwe au ahukumiwe kunyongwa!!! Kila nyumba watu watatoka na sijui mtauua wangapi. Hiyo itakua kwa ihari siyo kulazimishwa, watu watajisikia tu wako barabarani; uoga wote huwa unakwisha.
HAya mkuu!si unajua wale majamaa hua yanatukana na kuporomosha matusi weeeee, halafu baada ya muda wanaanza kumtaja Mungu 🐒
umoja, amani, ulinzi na usalama wa waTanzania wote vitafanywa ngwa nguvu na gharama yoyote ile ndugu mdau. Hakuna mzaha wala mbambamba zozote zile kwenye hilo 🐒Vyombo vya ulinzi na usalama vinatumika vibaya, Kodi za watanzania zinatumika vibaya, kwa kesi ya kutungwa, kesi ya kisiasa isiyo na uhalisia wowote.
Unatapeliwa na mtu anashindia shuka nyekundu na kaniki ndio uje upasuane Jukwaani na kina Heche na Lisu si utawaitia kina Mtatiro wewe.ok.mganga🐒
Chaiila wakili Katuga anawanyooshaa dah![]()
Nyie siku zote hamna nia njema na ili taifa zaidi ya matumbo yenu na familia zenu, mpo tayari hata kutumia rasilimali hovyo hovyo ilimradi mlinde vyeo vyenu na madaraka na siyo kwa maslahi ya taifaumoja, amani, ulinzi na usalama wa waTanzania wote vitafanywa ngwa nguvu na gharama yoyote ile ndugu mdau. Hakuna mzaha wala mbambamba zozote zile kwenye hilo 🐒
Wasira alisha Sema, labda mahakama itende kinyume chakeHuzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha jumbe za kutafuta kiki na public sympathy zitaanza kufurika,
na kwa unafiki, maombi ya kipepo na
vifungu vya bibilia vitaanza kutumika na Mwenyezi Mungu ataanza kukumbukwa siku hiyo, wakati huo mambo yatakua yameisha tayari.
Hata hivyo,
mshindi wa yote atakua ni sheria na katiba ya Tanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Rafiki yako nchimbi yuko wapisidhani kama mkiuka sheria kwa makusudi anastahili msamaha gentleman 🐒
gentleman,Nyie siku zote hamna nia njema na ili taifa zaidi ya matumbo yenu na familia zenu, mpo tayari hata kutumia rasilimali hovyo hovyo ilimradi mlinde vyeo vyenu na madaraka na siyo kwa maslahi ya taifa
