Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

Kwa hiyo uko zako unafurahia mwenyewe....
 
Ulichoandika kilionekana siku ya kwanza ya usikikizwaji wa kesi.
Kama ilitolewa amri ya kuua holela, Polepole n.k walizimwa, Nchimbi akatimuliwa, ......
Je ni ubatili gani tena zaidi unaotarajiwa?
Itafika Rufaa ili watu waenselee kuishi kwa 'amani'.
Kumbuka: Dhuluma haijawahi kuacha mtu/jamii yoyote salama
 
Kwa hiyo uko zako unafurahia mwenyewe....
ulinzi ukiimarishwa si kuna kua na uhakika wa usalama gentleman.

ni muhimu waTanzania kufanya kazi zao katika mazingira ya furaha na amani gentleman 🐒
 
Ulichoandika kilionekana siku ya kwanza ya usikikizwaji wa kesi.
Kama ilitolewa amri ya kuua holela, Polepole n.k walizimwa, Nchimbi akatimuliwa, ......
Je ni ubatili gani tena unasubiriwa?
hii haihusiani na hoja mahususi mezani, right gentleman?🐒
 
Huzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha jumbe za kutafuta kiki na public sympathy zitaanza kufurika,

na kwa unafiki, maombi ya kipepo na
vifungu vya bibilia vitaanza kutumika na Mwenyezi Mungu ataanza kukumbukwa siku hiyo, wakati huo mambo yatakua yameisha tayari.

Hata hivyo,
mshindi wa yote atakua ni sheria na katiba ya Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Huyu Mungu unayemtaja, atakuwa Nsyuka(Zaribebuye,Artemi)!
 
Huyu Mungu unayemtaja, atakuwa Nsyuka(Zaribebuye,Artemi)!
si unajua wale majamaa hua yanatukana na kuporomosha matusi weeeee, halafu baada ya muda wanaanza kumtaja Mungu 🐒
 
Huzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha jumbe za kutafuta kiki na public sympathy zitaanza kufurika,

na kwa unafiki, maombi ya kipepo na
vifungu vya bibilia vitaanza kutumika na Mwenyezi Mungu ataanza kukumbukwa siku hiyo, wakati huo mambo yatakua yameisha tayari.

Hata hivyo,
mshindi wa yote atakua ni sheria na katiba ya Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Nyie fanyeni dhihaka na maisha ya watu, siku hiyo itakua ndiyo "Referundum" kwa hukumu yoyote ikitolewa, aachiwe au ahukumiwe kunyongwa!!! Kila nyumba watu watatoka na sijui mtauua wangapi. Hiyo itakua kwa ihari siyo kulazimishwa, watu watajisikia tu wako barabarani; uoga wote huwa unakwisha.
 
Back
Top Bottom