Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

Siku ya hukumu!

Hukumu ya CCM?

au

Hukumu ya Mungu?

Hukumu ya CCM ndio yenye ulinzi mkali.

Ila ya Mungu..

Haina ulinzi mkali, iakini ndio hukumu ya haki.
ok sawa gentleman ,
but there will be tyty security on judgement day 🐒
 
Huzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha jumbe za kutafuta kiki na public sympathy zitaanza kufurika,

na kwa unafiki, maombi ya kipepo na
vifungu vya bibilia vitaanza kutumika na Mwenyezi Mungu ataanza kukumbukwa siku hiyo, wakati huo mambo yatakua yameisha tayari.

Hata hivyo,
mshindi wa yote atakua ni sheria na katiba ya Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Mkuu, Wala hilo siombi litokee.
1. Inawezekana kuwa chini ya uangalizi. Sijui huwa munauitaje.
2. Inawezekana pia akapeta. Si unajua mambo ya Sheria?
Ushauri: jitayarishe kwa lolote.
 
Mkuu, Wala hilo siombi litokee.
1. Inawezekana kuwa chini ya uangalizi. Sijui huwa munauitaje.
2. Inawezekana pia akapeta. Si unajua mambo ya Sheria?
Ushauri: jitayarishe kwa lolote.
mshindi ni sheria na katiba ya nchi gentleman na si vinginevyo 🐒
 
Kwa akili hizi.
Mganga kukupadlsua Laki Tano na ushee alikuwa sahihi
kumbe uganga ni gharama hivyo gentleman? :pedroP:

kumbe mapiga ramli yanaweza kua yanavuta mkwanja mrefu sana tu kutoka kwa wajinga ee?
 
ICC ni unafiki tu , wangeanza kumkamata Sisi wa Misri pamoja na Nyetanyahu
nadhani wangeanza na Jorge Bush Jr, na Tony Blair walioangamiza mamilioni ya raia Iraq wasio na hatia 2003 ingependeza zaidi 🐒
 
Why should I? Its enough to notice that you got my point. Didn't you?
my concerns are about JF members to understand what you mean, because your comment is completely out of the motion on the table 🐒
 
my concerns are about JF members to understand what you mean, because your comment is completely out of the motion on the table 🐒
If it is understandable to you, then it is enough.
 
Huzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha jumbe za kutafuta kiki na public sympathy zitaanza kufurika,

na kwa unafiki, maombi ya kipepo na
vifungu vya bibilia vitaanza kutumika na Mwenyezi Mungu ataanza kukumbukwa siku hiyo, wakati huo mambo yatakua yameisha tayari.

Hata hivyo,
mshindi wa yote atakua ni sheria na katiba ya Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kangaroo 🦘 Court, kwenye mahakama ya wazi na haki LISU Hana KESI yoyote
 
Back
Top Bottom