Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

Lisu kuhukumiwa litakuwa sio swala jpya labda kama kama ataachiwa ndo itashangaza.
Mimi Kwa maoni yangu mahakama zetu zilishapoteza imani hiyo pale yanafianyika maigizo TU. Mimi nasimamia kauli za kiongozi komredi wasira lisu akiendelea kukomaa ataozea jera
in fact,
jela ndio mahali haswa pa wakiuka sheria gentleman.

ikithibitika nadhani ni vizuri akapelekwa huko :1Head:
 
Back
Top Bottom