Mungu mwenyez huliacha jambo Moja lifanikiwe ili kutoa mwanya wa tafakuriKwa nini mungu ameshindwa kuzuia watu kutekwa na kupotezwa??
Maumau ilianzaje ndugu, haikuwa na chanzoNiseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataketwa na mandamano wamefeli vibaya sana
Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana
Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa
Wangemweka Nyerere rumande na hakuna mtu angemsaidia
Nchi hii haifanani na nchi nyingi za Africa
Kule Kenya Kuna Maumau
Kule Congo Kuna Maimai
Kule Burundi Kuna intarahamwe
Kule Rwanda na Uganda Kuna Banyamulenge bongo Kuna nani
Jibu ni HAKUNA
Nchi hii imepata uhuru wa kisiasa mezani na hata uhuru wa maamuzi kwa wote utapatikana mezani
Mnaojidanganya kama kesho Kuna mtu atandamana mwajidanganya Tena sana
Tena SI kwasababu ya vitisho vya jeshi la polisi no
Hakutakuwa na mandamano kwasababu SI utamaduni wetu
Nchi ilikofika kweli inahitaji ukombozi wa kifikra lakini sio kwa style ya vurugu tutulie tujipange kwa mazungumzo.
Ni kweli lkn SI ktk utamaduni wetu hizi vuruguMaumau ilianzaje ndugu, haikuwa na chanzo
"Newton's third law simply states that for every action there is an equal and opposite reaction"
Kuna siku haya ya sasa tutaona matokeo yake hata tusipo kuwepo sisi kuna vizazi vitaone hii cause ya sasa. Kikubwa ni haki then amani baadae
bwana ni bwana ndo nani? mmeo?Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataketwa na mandamano wamefeli vibaya sana
Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana
Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa
Wangemweka Nyerere rumande na hakuna mtu angemsaidia
Nchi hii haifanani na nchi nyingi za Africa
Kule Kenya Kuna Maumau
Kule Congo Kuna Maimai
Kule Burundi Kuna intarahamwe
Kule Rwanda na Uganda Kuna Banyamulenge bongo Kuna nani
Jibu ni HAKUNA
Nchi hii imepata uhuru wa kisiasa mezani na hata uhuru wa maamuzi kwa wote utapatikana mezani
Mnaojidanganya kama kesho Kuna mtu atandamana mwajidanganya Tena sana
Tena SI kwasababu ya vitisho vya jeshi la polisi no
Hakutakuwa na mandamano kwasababu SI utamaduni wetu
Nchi ilikofika kweli inahitaji ukombozi wa kifikra lakini sio kwa style ya vurugu tutulie tujipange kwa mazungumzo.
Ungetulia ungeelewabwana ni bwana ndo nani? mmeo?
Kama bado unawalinganisha wa TZ Wa enzi za nyerere na wale hii basi ulichokisoma shule hakijakusaidia kitu na ni hasara kabisa.
utamaduni wenu ulikua unavaa kaniki na vibwebwe.....vip bado unavaa kaniki na vibwebwe?Ni kweli lkn SI ktk utamaduni wetu hizi vurugu
Ukitulia utanielewautamaduni wenu ulikua unavaa kaniki na vibwebwe.....vip bado unavaa kaniki na vibwebwe?
Mkuu hakuna ulichokiandika hapo huwezi kulinganisha wakati wa nyerere na sasa ni vitu2 tofauti mbali mnooo.Hata tusipoandamana au tuandamane haipo siku tutaendelea kuwa hivihiv eti nyerere alipewa kisiasa.....Ungetulia ungeelewa
Je Mwenyezi Mungu hawezi kuachia maandamano yafanikiwe ili kutoa mwanya wa tafakuri??Mungu mwenyez huliacha jambo Moja lifanikiwe ili kutoa mwanya wa tafakuri
Na maarifa Bora hupatikana mezaniMkuu hakuna ulichokiandika hapo huwezi kulinganisha wakati wa nyerere na sasa ni vitu2 tofauti mbali mnooo.Hata tusipoandamana au tuandamane haipo siku tutaendelea kuwa hivihiv eti nyerere alipewa kisiasa.....
Sikia hata kipindi cha nyerere watu walikuwa hawatekwi kama leo hii.
KUMBUKA SHIDA/MATATIZO HULETA MAARIFA!!
sisi(Tanzania) sio wapekee sana hapa duniani kiasi ya kwamba yanayotokea duniani kwingine hayawezi tokea hapa kwetu. ndo mana hata ufisadi uliopo kwingine hata kwetu upo...so kama kila kitu kina athari basi hilo haliwezi kukwepeka in any how. Dunia haiwezi kuacha kuzunguka sababu wewe umegoma kuzunguka nayo.Ukitulia utanielewa
Elimu yako ni bure haijakusaidia yamkini hata babu yako angekuwa hai muhimu akushangae kujilinganisha na kipindi cha giza cha nyerere aliyekuwa Tv pekee nchi nzima!!Na maarifa Bora hupatikana mezani
Ungetulia ungeelewaElimu yako ni bure haijakusaidia yamkini hata babu yako angekuwa hai muhimu akushangae kujilinganisha na kipindi cha giza cha nyerere aliyekuwa Tv pekee nchi nzima!!
Ndugu dunia kila kukicha inazidi kubadili kuanzia mazingira napia watu wake au viumbe viishivyo hapo. Basi kama kuna mabadiliko jua kwamba hali haiwezi kuwa static.Ni kweli lkn SI ktk utamaduni wetu hizi vurugu