Nilioa kwa sababu uzee ulikuwa unanikaribiaMimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?.
Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino.
min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe.
adriz de mbusii alioa kwa sababu alichoka kujichukilia sheria mkononi.
Na mdogo wetu Beira Boy alioa kwa sababu mvivu kuamka asubuhi kila jumamosi kuwahi jumuiya na yeye anaogoga asije kususiwa msiba na kanisa so alioa mke wa kuwa anaenda jumuiya kwa niaba yake.
Wewe mwenzetu umeoa au unataka kuoa kwa sababu gani? 🎤
Nilioa kwa sababu uzee ulikuwa unanikaribia
Hakika blah blah tu!Hamna waoaji siku izi ukiwemo ww mleta mada
Na El Nino inakuja na mauza uza godoro kitalowa tu 🤣Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?.
Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino.
Hujajipanga bado..unaoa au unataka kutorosha?Nimenunua godoro na kitanda kwanini nisioe?
ok.🐒Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?.
Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino.
min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe.
adriz de mbusii alioa kwa sababu alichoka kujichukilia sheria mkononi.
Na mdogo wetu Beira Boy alioa kwa sababu mvivu kuamka asubuhi kila jumamosi kuwahi jumuiya na yeye anaogoga asije kususiwa msiba na kanisa so alioa mke wa kuwa anaenda jumuiya kwa niaba yake.
Wewe mwenzetu umeoa au unataka kuoa kwa sababu gani? 🎤
Huyu anatorosha ...haoiHakika blah blah tu!
Tuta mfatilia!!!Huyu anatorosha ...haoi
Waolewaji ndio mnazinguaga aisee nina hasiraHamna waoaji siku izi ukiwemo ww mleta mada
Shusha hasira kwanza tuzungumze😹Waolewaji ndio mzinguaga aisee nina hasira
Cc Binti wa zamani
ukitaka nishushe hasira fanya maamuzi ya maana kabla ya el nino 😁Shusha hasira kwanza tuzungumze😹
Mbona tupoHamna waoaji siku izi ukiwemo ww mleta mada