Kama wataka mume njoo nikuwowe.Hamna waoaji siku izi ukiwemo ww mleta mada
Weka picha nione kama unananifaaaKama wataka mume njoo nikuwowe.
Hongera pewa maua yakoππππMbona tupo
Mpaka Binti wa zamani apitishe hili swalaππukitaka nishushe hasira fanya maamuzi ya maana kabla ya el nino π
Waolewaji ndio mnazinguaga aisee nina hasira
Cc Binti wa zamani
Nimepitisha, mje sasa tuzidi kuunganisha koo, mabinamu wa mbali kuoana si dhambi!Mpaka Binti wa zamani apitishe hili swalaππ
Bila hasira hivi vitu haviendiView attachment 3671877
Kunywa maji utulie kidogo kijana wangu!
Nimepitisha, mje sasa tuzidi kuunganisha koo, mabinamu wa mbali kuoana si dhambi!
Ngoja tuoneπππView attachment 3671877
Kunywa maji utulie kidogo kijana wangu!
Nimepitisha, mje sasa tuzidi kuunganisha koo, mabinamu wa mbali kuoana si dhambi!
π€£π€£π€£π€£π€£Bila hasira hivi vitu haviendi
Ila naahidi kupunguza kuongea na hata kuwa bubu kabisa asante aunt π€
Kamdomo mpwaa wangu, kamdomo πππ ikibidi kakate tu!Bila hasira hivi vitu haviendi
Ila naahidi kupunguza kuongea na hata kuwa bubu kabisa asante aunt π€
Tuone nini tena, mashangazi tuko tayari kwa harusi!Ngoja tuoneπππ
Ninakufaa saa.Weka picha nione kama unananifaaa
Mallerina muulize ana gari kwanza asije kukutembeza kwa miguu huyo, by the way mimi ninalo ππNataka nikuoe kabla wakina dosho12 hawajajua wasije wakakuvuruga tena ukakimbia π₯°
Yani dosho12 type yanguπhuyu harmful ajipange hili jua linataka mwenye gari tuMallerina muulize ana gari kwanza asije kukutembeza kwa miguu huyo, by the way mimi ninalo ππ
Binti wa zamani
Weka na picha tukuone vizuriNinakufaa saa.
Nakupa zaidi ya picha sasa.
Ulefu - 176cm
Rangi - maji ya kunde
Uzito - 72kg
π€£π€£ila harmful hukosagi cha kusemaMe fundi garage tutaendesha ya wateja π
Na hapo nimeahidi kuwa mkimya ππππ€£π€£ila harmful hukosagi cha kusema
We si ulisema utakuwa bubu πNa hapo nimeahidi kuwa mkimya πππ
Nashindwa kuelewa π ila kaka niachie huyu tu wale wakina aisha na yule suzy wote chukuaWe si ulisema utakuwa bubu π