Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

Ulikuwa biashara au mshahara? Mana kwa umri huo wengi wana miaka mitano au 6 ya kazi
 
24 niliondoka home na kuanza kupambana...36 nilihamia kwenye nyumba yangu ya Kwanza...hadi sasa Nina nyumba sita!!!
hongera tupe mbinu mimi lengo langu lilikua mwaka jana lkn tunapanga Mungu anaamua lkn pia naamin mpango wa Mungu n bora kuliko ndoto zangu saizi napambana ili nipaue kwa uwezo Mungu naamin mpaka December nitafanikisha Inshallah
 
Kikubwa ni nidhamu ya fedha na malengo, nikipanga langu na nisipate changamoto za kutisha lazima niheshimu mipango yangu. Kwangu elfu 50 inafanya kazi. Lakini pia supportive wife ni nguzo yangu
 
Dooh hapo kwenye kuomba 40m tena hata hivyo hongera
 
Kikubwa ni nidhamu ya fedha na malengo, nikipanga langu na nisipate changamoto za kutisha lazima niheshimu mipango yangu. Kwangu elfu 50 inafanya kazi. Lakini pia supportive wife ni nguzo yangu
Nakuelewa mkuu pesa naiheshim sana lkn kwa upande wangu niliamin nilikua nayo ingetosha mambo yakaenda ndivyo sivyo
 
At this age ya miaka 27 nina nyumba tatu masasi chanika kwa matajiri na mbezi kwa yusuph.Magari 3 ranger rover discovery 4, ranger rover vogue na nissan navara na pia nimeoa msudani mahari ilinicost 10 milion halafu hapo mie ni mwalumu tu
Wewe pia ni Nesi Mkunga
 
Wengi bdo tunaskilizia bdo hazjatiki. Lakini napenda vile kumekua na muamko mkubwa sana kwa vijana wa sasa kujenga mapema na kuhamia kwenye mijengo yao. Mi nadhani ntapiga hata kibarua humo humo saidia fundi ili nipate changamoto mpya..,inshalah
Umeongea kinyume chake wengi siku hizi wamepanga na siyo kwao wapo, vijana wa zamani walihamia kwao mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…