Ulipata changamoto gani katika kumtambulisha mwenza katika familia yako?

Acha kabisa mkuu tuliobahatika kuwa na madada wengi na mashangazi ni changamoto kubwa mno,nilimpenda fupi nyundo wangu mmoja aisee ni shida,mi binafsi nawapenda wanawake wafupi huwa naamini hata kina ya ile kitu ni fupi.
Sasa basi akaja msibani yaani alitolewa kasoro mtoto wa watu,eti ninaulizwa mfuko wa simenti na yeye kipi kirefu,kuna muda nilikua simuoni na simu haipatikani kumuulizia yuko wapi nikaambiwa nimuangalie nyuma ya jiko la gesi.
Ila nipo nadunda nae na ana akili ya maisha hadi basi ukijumlisha na anavyoifinyiaga kwa ndani basi tuuu
Mawifi Mungu anawaona...
" ........eti mtafute nyuma ya mtungi wa gas"
 
kugongewa ndio kipengele kikubwa aise, bro Extrovert hebu nipe mawaidha.
Hapo mawaidha ya msingi ni kama kweli utachukua chombo hakikisha baba wa mtoto yuko mbali na hata kama ikitokea yuko karibu hakikisha una monitor mawasiliano yake na mkeo...

Kama mke anakupenda kweli na hataki uwe na jakamoyo basi jukumu la kumkutanisha mtoto na baba yake ulifanye wewe. Sio eti baba mtoto kaja unamwambia mkeo ndio ampeleke. Utatombewa soon!
 
a
Na kumtambulisha mwanaume mwenye mtoto kwa wazazi inakuwaje je?

Extrovert
Hahahah hilo mbona simple kwanza wala hutakiwi kulizungumzia 😂 maana utachekwa bure.

Mwanamume hata baba yako huenda ana ndugu yenu aliozaa na mwanamke tofauti na mama yenu pengine enzi za ujana. What matters ni kwamba anaanza mfumo rasmi wa maisha na wewe. Wazazi wata bless tu wala halina shida unless uwe na wazazi ma complicator au wawe hawajamuelewa mchumba wako so watumie kama sababu ya kum diss.
 
a

Hahahah hilo mbona simple kwanza wala hutakiwi kulizungumzia [emoji23] maana utachekwa bure.

kuchekwa nje nje [emoji3] [emoji3]
 
Sasa hapo uanaume wako na msimamo wake kwa huyo binti ndipo utakapoonekana..kama wampenda kama usemavyo pambania penzi lako ongea na wazazi wako wakuelewe..au Kama vipi tia mimba mpeleke kwenu kwa unyenyekevu wazazi hawawezi pindua hapo
 
Nilijua utatetea tu

Single father ni janga bora single mother
 
Hahahah shida ni ubinafsi wa wanawake tu kuwa resources zinatakiwa zimfikie na mtoto ambaye hujamzaa wewe!

Hapo tu ndio mna tatizo napo, ila hebu waza which is the worst scenario kati ya baba kumlea mtoto wake wa damu au kulea mtoto wako uliozalishwa na mwanaume mwengineo ambaye yuko irresponsible?

The worst part still atakulaghai ili akugonge kwa siri mnaendeleza kamchezo ka kupasha kiporo sababu kimsingi kama mwanamke hakubakwa obvious alizaa na mwanaume anayempenda. Hamna mwanamke anazaa na mtu ambaye hampendi isipokuwa kwa ugumu wa maisha tu! Ndio maana kesi za kupasha viporo haziishi
 
Acha mihemko kama kijana under 25.

Fanya utafiti kisha Fanya maamuzi.

Ungekuwa mdogo wangu sidhani ungefikiria upumbavu kama huo.

Au umeanza mapenzi ukubwani
 
Hahahah shida ni ubinafsi wa wanawake tu kuwa resources zinatakiwa zimfikie na mtoto ambaye hujamzaa wewe!

Hapo tu ndio mna tatizo napo, ila hebu waza which is the worst scenario kati ya baba kumlea mtoto wake wa damu au kulea mtoto wako uliozalishwa na mwanaume mwengineo ambaye yuko irresponsible?

The worst part still atakulaghai ili akugonge kwa siri mnaendeleza kamchezo ka kupasha kiporo sababu kimsingi kama mwanamke hakubakwa obvious alizaa na mwanaume anayempenda. Hamna mwanamke anazaa na mtu ambaye hampendi isipokuwa kwa ugumu wa maisha tu! Ndio maana kesi za kupasha viporo haziishi
Mi hata tuzae watoto kumi tukiachana, hamna cha kiporo wala cha leo leo

Kweli tumetofautiana
 
Sasa hapo uanaume wako na msimamo wake kwa huyo binti ndipo utakapoonekana..kama wampenda kama usemavyo pambania penzi lako ongea na wazazi wako wakuelewe..au Kama vipi tia mimba mpeleke kwenu kwa unyenyekevu wazazi hawawezi pindua hapo
kura ya pili hii kuhusu mimba

nadhan itakuwa jibu sahihi
 
Back
Top Bottom