Ulipata changamoto gani katika kumtambulisha mwenza katika familia yako?

Jamani jamani mbona wana dhambi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyuma ya jiko la gesi
 
Una stand firm kuhalalisha mke then baadae anageuka malaya na kukuletea stress katika ndoa...K.K.S!!!
Si rahisi kumgeuza mwanamke mpenda variates za dushe! Aidha mwanamke akiwa anatafuta ni hatari, atasupply K kinoma; atanyenyekea au hata kama huna hela atauza k ili akupe wewe pesa. Ila akishaolewa hapo ndipo utamjua. Huyu Gustavo Gaviria kama hachangamshi jukwaa, basi singeli mazeri kambamba haswa. Utaoaje watu wawili yaani mama na mtoto. Wenzako wanaoa mmoja wewe wawili. Huo ni (malizia)
 
Wanawake sio wa kuwalia yamini...Wanazingua sana aisee!!! Mwanamke anaweza kukuigizia ni malaika ilimradi tu umuoe. Atakavyokuchenjia ni hatari 😝😝😝
 
Wanawake sio wa kuwalia yamini...Wanazingua sana aisee!!! Mwanamke anaweza kukuigizia ni malaika ilimradi tu umuoe. Atakavyokuchenjia ni hatari 😝😝😝
Mkuu we acha tu! Sasa mtoto akikua kama ni mvulana atakuchapa tu. Akiwa binti, uwezekano wa kumbikiri ni mkubwa
 
Mimi Nilioa single mother nilipata tatizo kwenye Kumtambulisha ila nilikausha sikusema kitu wamekuja kugundua I'm me pita miaka 3
 
bado sijachaguliwa kabisa na siwezi kuchaguliwa, napata tu contradictions kichwani.
Sikupingi ila tambua hicho ni kiwanja chenye mgogoro
1,rafiki yangu aliolewa akiwa na mimba mwanaume akahaidi kumhudumia mtoto, mtoto kazaliwa mme kabadilika na vile mtoto ni wa kiume mapenzi yamepungua kwa huyo shoga yangu. Mme hataki kutoa matumizi ya mtoto sasa mm ndo natumika kumbembeleza bava mtoto halisi atume matumizi

2.Ndani ya familiya yetu kabisa kuna binti aliolewa na mtoto mwanzo wa ndoa full mahaba tukafurahi ndogo wetu kapata mme na kampenda mtoto ambae sio wake.tukasema asante yesu. Aiiiiiii nachokwambia sasa hivi huyo mtoto kawa kikwazo mwanaume hampendi kama mwanzo.

Mbaya zaidi waliamua kuwaficha wazazi wa mme, ila tambua pembe la ng'ombe halifichiki, wazazi wamejua, ni vurugu pande zote. Mke/ yaan mdogo wetu hapumui akienda sehemu basi ni kumsingizia kaenda kukutanda na mzazi mwenzi wakati hawana hata mawasiliano.

Mleta mada natamani umuoe huyo dada ila kwa afya ya familiya yako aiseee sikushauri, labda na wewe kama una mtoto hapo sawa.utaweza kuwaconvice wazazi. Lakini pia usije kujipendekeza mtoto utamlea yakikushinda ukashindwa kumuhudumia mkeo akalazimika kuomba matumizi kwa mzazi mwenzie usije kutuchosha haoa kutaka ushauri, wakati unajua incase wakikutana lazima angegede.

Hicho ni kiwanja cha urithi mgogoro kama wote pambana.
 
We si unaongea, kuna mguso wa pekee kwa kila mwanamume! Katika watu waliokupitia yupo ambae unajua ukweli nafsini mwako kuwa hata sasa akikuhitaji akakomaa umpe huwezi mnyima[emoji38]
Hehe hehe hakuna narudia hakuna

Nayempenda ni huyu ambae niko nae sasa hivi
 
duh mgogoro mbona kama wote!
 
Kaka yangu alimpachika mimba kwanza akazaa mtoto kisha akampeleka nyumbani kwa wazazi akiambatana na mwanae aliyemkuta, japo ilileta maneno kiasi lakini alikubalika kwa urahisi zaidi kuliko ambavyo asingezaa nae kwanza
Nafikiri hii ni option nzuri

Uzi wa single mothers kutesa huu😂
 
Dah,hongera kwa ujasiri..."em muangalie nyuma ya jiko LA gesi". Watu wanadharau sana
 
Uko sahihi kabisa mwanamke akipata mimba ya mwanaume ambae hampendi lazima aitoe.

Mm mtaniona mnafiki nimemshauri asimuoe hicho ni kiwanja chenye mgogoro.wakigombana tu anamtafuta baba mtoto kisiri, akiishiwa hela anaomba matumizi kisiri, kwani wanawake wameisha??
 
Yap haifai
 
ni kweli naona hiki kiwanja kina mgogoro
 

Na mwanaume mwenye watoto wawili kwa wanawake tofauti je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…