Ulipata changamoto gani katika kumtambulisha mwenza katika familia yako?


Ila mwanaume aliezaa nje haina shida
Hata yeye kupasha kiporo kwa baby mama si yale yale
 
Kama una mpenda kwa dhati na familia inakuheshimu, huna sababu ya kuhofia, ila kama huna nia naye ya dhati, mwache na maisha yake.
 
Fanya kitu roho yako inapenda , ukitaka kufanya kitu kwa kuangalia watu , utafeli mkuu .
Nakwambia tena utafeli mkuu
 
Mkuuu...simama kwenye msimamo wako... Wewe ndo unaenda kuishi nae

Kama unampenda..mtetee na waoneshe mazuri yake.. na Stand firm in what you believe..nawala usitetereke
Tatizo wanataka wafate ndugu wanachowaambia wakati wao ndo wanaenda kuishi nao bila kujua msimamo ndo kila kitu.
 
Game linaanza ushafungwa 1-0. Hatari hii, labda mzazi mwenzake awe ametangulia, otherwise unaanza matatizo kabla hata hujaingia kwa ndoa.
 
Acha mihemko kama kijana under 25.

Fanya utafiti kisha Fanya maamuzi.

Ungekuwa mdogo wangu sidhani ungefikiria upumbavu kama huo.

Au umeanza mapenzi ukubwani
Atakua Bikra wa kiume si wewe ndio ulishauri watu waanzane wakioana?
 
We si unaongea, kuna mguso wa pekee kwa kila mwanamume! Katika watu waliokupitia yupo ambae unajua ukweli nafsini mwako kuwa hata sasa akikuhitaji akakomaa umpe huwezi mnyima[emoji38]
Sio kweli
 
Cheki na polepole atakushauri vizuri
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…