Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Yaani anaenda kutawala kwa vitishoMaajabu ya Samia hayo!
Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.
Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.
Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.
Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.
Ni siku kubwa.
Lakini cha ajabu tena, yeye huyo Samia [sitomuita Rais kwa sababu hakuna aliyemchagua awe rais] leo yuko mafichoni.
Hajulikani alipo. Kajificha 😀.
Sikumbuki mara ya mwisho Rais wa Tanzania kujificha siku ya uhuru.
Ama kweli huyu Samia ni mtu tofauti sana.
Hata yale maonyesho ya wale makomandoo wake, wale ambao huwa wanaruka ruka na kuigiza kupigana huku wamejipaka masizi usoni na kubeba mabegi yao ya mgongoni, leo hakuna 😀.
GenZ wa Tanzania kiboko aisee.
Yaani they are basically calling the shots.
Hey Samuya, where are you? 😂
Ni siku kubwa.Maajabu ya Samia hayo!

Kwani zamani ulikuwa unamuona wapi? Mbona mkuu unataka kuingilia ratiba ya Rais kama vile unakagua pochi ya mkeo??Maajabu ya Samia hayo!
Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.
Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.
Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.
Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.
Ni siku kubwa.
Lakini cha ajabu tena, yeye huyo Samia [sitomuita Rais kwa sababu hakuna aliyemchagua awe rais] leo yuko mafichoni.
Hajulikani alipo. Kajificha 😀.
Sikumbuki mara ya mwisho Rais wa Tanzania kujificha siku ya uhuru.
Ama kweli huyu Samia ni mtu tofauti sana.
Hata yale maonyesho ya wale makomandoo wake, wale ambao huwa wanaruka ruka na kuigiza kupigana huku wamejipaka masizi usoni na kubeba mabegi yao ya mgongoni, leo hakuna 😀.
GenZ wa Tanzania kiboko aisee.
Yaani they are basically calling the shots.
Hey Samuya, where are you? 😂
Mzee mpumbavu!! Zoea tu hiyo sauti Samia yupo sanaaaa!!Yaani anaemda kutawala kwa vitisho
Wametepeta… wamelegeaKwani zamani ulikuwa unamuona wapi? Mbona mkuu unataka kuingilia ratiba ya Rais kama vile unakagua pochi ya mkeo??
Muacheni Rais achape kazi, jipangeni na 2030
Waimba Taarab wanaongoza mpaka 2030. Mtakufa na vijiba vya roho. NyambaaafHakuna kitu pale.
Walileta waimba taarab watuongoze matokeo yake ndio haya sasa.
Fanya tu haraka uingie studio na huyo samia wako ili mshushe vizuri mashairi yenu ya taarabu! Siyo kwa vichambo hivi.Ni siku kubwa.
Maneno ya mfa maji asiyeacha kutapatapa!! Imbecile creature!!
Nchi haiwezi angamizwa na mbwa kama nyie then tuangalie tuu!! Wengi mnaongozwa na chuki binafsi zilizopitiliza wivu na kijicho!!
Mlijipanga sana kiko wapi? Nilijua mlivyolia yaliyowapata tarehe 29 October hamjakoma kumbe kisu kiliingia kwenye mfupa!!
Samia yupo ikulu kama ambavyo nyie mbweha mlizusha ile siku kuwa kakimbia nchi!! Eti kajificha lini Rais wa nchi hii alizagaa hovyo barabarani? Halafu kuahirishwa sherehe za uhuru haikuanza leo miaka mingi tu tangu enzi za Magufuli hizi sherehe ziliahirishwa na bajeti kuelekezwa pengine!!
Mtakufa nacho kijiba cha roho Samia is there to stay shwain!!
Ulipobamizwa na HILDA NEWTON na kukatiwa mirija ya ruzuku hapo CHADEMA ukaamua kukimbilia CHAUMA kufakamia ubwabwa wa dezo.Ni siku kubwa.
Maneno ya mfa maji asiyeacha kutapatapa!! Imbecile creature!!
Nchi haiwezi angamizwa na mbwa kama nyie then tuangalie tuu!! Wengi mnaongozwa na chuki binafsi zilizopitiliza wivu na kijicho!!
Mlijipanga sana kiko wapi? Nilijua mlivyolia yaliyowapata tarehe 29 October hamjakoma kumbe kisu kiliingia kwenye mfupa!!
Samia yupo ikulu kama ambavyo nyie mbweha mlizusha ile siku kuwa kakimbia nchi!! Eti kajificha lini Rais wa nchi hii alizagaa hovyo barabarani? Halafu kuahirishwa sherehe za uhuru haikuanza leo miaka mingi tu tangu enzi za Magufuli hizi sherehe ziliahirishwa na bajeti kuelekezwa pengine!!
Mtakufa nacho kijiba cha roho Samia is there to stay shwain!!
Mpo wengi huko USA, kabla hamjahamasisha vurugu Tanzania anzisheni vurugu za kumng’oa Trump kupitia akaunti zenu za mitandao ya kijamii kwa sababu amewatukana wasomali ambao ni wahamiaji kama nyie.Maajabu ya Samia hayo!
Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.
Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.
Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.
Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.
Ni siku kubwa.
Lakini cha ajabu tena, yeye huyo Samia [sitomuita Rais kwa sababu hakuna aliyemchagua awe rais] leo yuko mafichoni.
Hajulikani alipo. Kajificha 😀.
Sikumbuki mara ya mwisho Rais wa Tanzania kujificha siku ya uhuru.
Ama kweli huyu Samia ni mtu tofauti sana.
Hata yale maonyesho ya wale makomandoo wake, wale ambao huwa wanaruka ruka na kuigiza kupigana huku wamejipaka masizi usoni na kubeba mabegi yao ya mgongoni, leo hakuna 😀.
GenZ wa Tanzania kiboko aisee.
Yaani they are basically calling the shots.
Hey Samuya, where are you? 😂
Bibi yako anaenda kunyea debe ICC.Mpo wengi huko USA, kabla hamjahamasisha vurugu Tanzania anzisheni vurugu za kumng’oa Trump kupitia akaunti zenu za mitandao ya kijamii kwa sababu amewatukana wasomali ambao ni wahamiaji kama nyie.
Andaeni vurugu mkaichome Capital Hill, Hollywood, na Whitehouse. Nendeni mkachome sub way na vituo vyake, vituo vya polisi na mali za wanasiasa wa Republican.
Mkishamaliza hayo basi ndo mwende Tanzania mkahamasishe vurugu mkiwa na mifano hai. Tofauti na hapo tulieni, pigeni kazi maisha yaendelee.