PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni siku kubwa.
Maneno ya mfa maji asiyeacha kutapatapa!! Imbecile creature!!

Nchi haiwezi angamizwa na mbwa kama nyie then tuangalie tuu!! Wengi mnaongozwa na chuki binafsi zilizopitiliza wivu na kijicho!!

Mlijipanga sana kiko wapi? Nilijua mlivyolia yaliyowapata tarehe 29 October hamjakoma kumbe kisu kiliingia kwenye mfupa!!

Samia yupo ikulu kama ambavyo nyie mbweha mlizusha ile siku kuwa kakimbia nchi!! Eti kajificha lini Rais wa nchi hii alizagaa hovyo barabarani? Halafu kuahirishwa sherehe za uhuru haikuanza leo miaka mingi tu tangu enzi za Magufuli hizi sherehe ziliahirishwa na bajeti kuelekezwa pengine!!

Mtakufa nacho kijiba cha roho Samia is there to stay shwain!!
Mkuu kwa nini ulikuwa unamtukana sana JPM?...
 
Bibi yako anaenda kunyea debe ICC.
ICC haiendeshwi na mihemko kama yako. Ushasikia statement yoyote kuhusu hicho mnachokisema nyie.
Fanyeni kazi hizo nchi mnazofurahia zimejengwa na ustaarabu na siyo vurugu za kipuuzi kama mnazohamasisha nyie.
Halafu watu mlioko USA na Kenya msijione kwamba nyie ndo mnaa akili na kwamba nyie ndo watanzania peke yenu. KaI kukaririshana maneno tu mara ICC wakati hata hamjui inafanyaje kazi.
 
Kwamba ICC huwa wanatoa statement kama chama cha siasa?
 
Maajabu ya Samia hayo!

Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.

Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.

Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.

Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.

Ni siku kubwa.

Lakini cha ajabu tena, yeye huyo Samia [sitomuita Rais kwa sababu hakuna aliyemchagua awe rais] leo yuko mafichoni.

Hajulikani alipo. Kajificha 😀.

Sikumbuki mara ya mwisho Rais wa Tanzania kujificha siku ya uhuru.

Ama kweli huyu Samia ni mtu tofauti sana.

Hata yale maonyesho ya wale makomandoo wake, wale ambao huwa wanaruka ruka na kuigiza kupigana huku wamejipaka masizi usoni na kubeba mabegi yao ya mgongoni, leo hakuna 😀.

GenZ wa Tanzania kiboko aisee.

Yaani they are basically calling the shots.

Hey Samuya, where are you? 😂
Kavaa bukta anasikilizia genzee wamefika wapi tayari kwa kukimbia nchi!
 
Kwenda zako huko na Maujinga yako. Naona baada ya maandamano yenu uchwara kushindwa vibaya mnaanza kuleta mahasira yenu na kutapatapa kama mfa Maji. Nadhani sasa Mmeelewa kuwa Taifa letu halichezewi na Rais wetu hana utani linapokuja suala la kulinda Amani ya Taifa letu. Ungepeleka pua lako barabarani kuandamana ili ukione cha Mtema kuni.
Kubwa jinga
 
Kwa ushindi wa 98% kisha kupingwa na Umma mbele ya uso wa Dunia dhahiri, wajiulize !
MO29 ilipelekea vifo vingi vilivyotokana na siasa kuliko vifo tangu Uhuru, Vita ya Kagera na marais 5 combined
MO29 ilikuwa litmus test, wanapaswa kufanya 'analytical test'' , watapa majibu nini kilitokea
Leo watu wameandamana kama MO29, tofauti ni kwamba wameandamana mioyoni si physical. Watafakari
 
Maajabu ya Samia hayo!

Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.

Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.

Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.

Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.

Ni siku kubwa.

Lakini cha ajabu tena, yeye huyo Samia [sitomuita Rais kwa sababu hakuna aliyemchagua awe rais] leo yuko mafichoni.

Hajulikani alipo. Kajificha 😀.

Sikumbuki mara ya mwisho Rais wa Tanzania kujificha siku ya uhuru.

Ama kweli huyu Samia ni mtu tofauti sana.

Hata yale maonyesho ya wale makomandoo wake, wale ambao huwa wanaruka ruka na kuigiza kupigana huku wamejipaka masizi usoni na kubeba mabegi yao ya mgongoni, leo hakuna 😀.

GenZ wa Tanzania kiboko aisee.

Yaani they are basically calling the shots.

Hey Samuya, where are you? 😂
Samia ni moja ya watu wa hovyo kabisa kuwahi kuishi ndani ya Jamhuri ya Muugano. Anapaswa kupingwa na kila mtu mwenye akiri timamu
 
Mkuu kwa nini ulikuwa unamtukana sana JPM?...
Hao ndio aina ya manyumbu kama kubwa lao Lucha a.k.a ZEZETA MUONGOZA NJIA, wanapenda hela za dezo, wakibinywa kidogo wanabwata.

Wakipewa pipi kidogo wanadata.

Huyu JINGA LAO Lusungo alikuwa karani wa mbowe, na kama unavyojua mbowe alivyofurushwa chadema mirija yote ya ulaji ikakata.

Kwa sasa kakimbilia CHAUMA anajifanya JASUSI kumbe lijinga tu linadoea ubwabwa.
 
Fanya tu haraka uingie studio na huyo samia wako ili mshushe vizuri mashairi yenu ya taarabu! Siyo kwa vichambo hivi.
Huyu Idiot ni Mbowe au ni mtu ambaye yuko karibu sana na Mbowe. Jaribu kufukua michango yake ya siku za nyuma, alikuwa anaisagia sana CCM kuwa ni chama mfu. Alikuwa ni CHADEMA kindakindaki. Mara baada ya Mbowe kushindw uenyekiti, ndipo alipobadilika na kulamba makalio ya Samia na CCM. Itakuwa alishatayarisha tumbo kwa kudhani kama Mbowe angekuwa mwenyekiti basi wangeachiwa nafasi za ubunge. Ana maumivu makali sana ndiyo maana anatukana hivyo.
 
Kwenda zako huko na Maujinga yako. Naona baada ya maandamano yenu uchwara kushindwa vibaya mnaanza kuleta mahasira yenu na kutapatapa kama mfa Maji. Nadhani sasa Mmeelewa kuwa Taifa letu halichezewi na Rais wetu hana utani linapokuja suala la kulinda Amani ya Taifa letu. Ungepeleka pua lako barabarani kuandamana ili ukione cha Mtema kuni.
Tuhimize umoja wa kitaifa, hatutafuti mshindi katika masuala ya kitaifa hivi unahisi chuki zikiendelea mtaani hata akiendelea kutawala tutakosa ushirikiano kutoka kwa jamii.
Haliwezi kuwa jambo jema hata kidogo.
 
Huyu Idiot ni Mbowe au ni mtu ambaye yuko karibu sana na Mbowe. Jaribu kufukua michango yake ya siku za nyuma, alikuwa anaisagia sana CCM kuwa ni chama mfu. Alikuwa ni CHADEMA kindakindaki. Mara baada ya Mbowe kushindw uenyekiti, ndipo alipobadilika na kulamba makalio ya Samia na CCM. Itakuwa alishatayarisha tumbo kwa kudhani kama Mbowe angekuwa mwenyekiti basi wangeachiwa nafasi za ubunge. Ana maumivu makali sana ndiyo maana anatukana hivyo.
Huyu Lusungo anasukumwa na chuki kwa Lissu toka Mbowe ashindwe uenyekiti.
 
YULE MWANAJESHI WA MAREKANI MWENYE KITAMBI ALIYEKAMATWA NA SUNGUSUNGU HUKO SIRARI AMEFIKISHWA MAHAKAMANI?
ILA POLICECCM KWELI HAWANA AKILI. WALIFIKIRI MKAKA WA SPECIAL FORCES AU REGULAR ARMY angekua na kitambi??
Ile idea lazima ilitetwa na Lawaz kichwa wazi
 
Back
Top Bottom