Mabeberu wapo kundi moja na hao hao Wakenya. Majirani zetu wanawahifadhi wanaharakati hata zile vurugu za October 29 upo uhusika wa Kenya kwa kiasi kikubwa.Bwana Steve , hakuna ligi ! tunajadili unayoleta. Kuzungumzia jambo bila ushahidi ni kutowatendea haki Wasomaji, ni propaganda. Tumepata tatizo linalohitaji suluhu tuwe pamoja. Suluhu haipatikani kwa kukwepa sababu halisi na kudhani propaganda zinafanya kazi. Propaganda zimeshindwa tukawa na MO29.
Hakuna mahali katika bandiko tumeeleza ugumu wa maisha. Tualichosema ambacho Wananchi wanawaambia viongozi na ambacho kipo midomoni mwa jamii ni haya;
Utekaji na kupotea watu. Mikataba ya rasilimali i. Matumizi na ufujaji. Kuminya demokrasia kwa chaguzi. Kufungia vyama vya siasa kutofanya siasa. Kufunga viongozi wa upinzani. Migogoro na taasisi za dini n.k. swali kwako, haya yamesababishwaje na Wakenya?
Uelewe vijana wa leo si wa 80,70 au 60. Dunia imebadilika, wanaona na wanajua.
Kufungia au kudhibiti vyombo vya habari nchini huenda ikawa ni sababu pia kama uchochezi upo.
Watu wanatafuta habari wanakojua lakini pia hayo mazuri unayosema yamefanyika hayawafikii kwasababu vhawana habari na vyombo vinavyodhibitiwa na serikali.
Mfano, serikali kufungia JF kumesaidia vipi?
Media zinafanya kazi in two way traffic, zinachukua habari kutoka kwa jamii kwenda kwa viongozi and vice versa.Kudhibiti media ni kufanya one way traffic. Wananchi wanatafuta habari wanakojua.
Yalirudisha heshima? Hivi unaifahamu chuki iliyopo mitaani?
Tunasheria za uhalifu hakuna inayosema Watu wauawe wakifanya uhalifu. Sheria zetu zinaruhusu watu kunyongwa si kwa hiari ya Askari bali idhini ya mamlaka ya Mahakama. Kazi za Polisi ni kuwaweka wahalfu chini ya ulinzi na kuwafikisha mbele ya sheria. Hawaruhusiwi hata kupiga kwa
Swali langu kwa Bwana Ntamusana,
Ni mabeberu wa Ulaya au Wakenya au Waliokosa Uzalendo au Vibaka au Wanaharakati?
Hakuna anayejua kila mmoja na ramli yake!
100%Mabeberu wapo kundi moja na hao hao Wakenya. Majirani zetu wanawahifadhi wanaharakati hata zile vurugu za October 29 upo uhusika wa Kenya kwa kiasi kikubwa.
Ngumu kwako kuamini lakini ndio ukweli wenyewe, alipozuiliwa Mange asitumie mtandao wa whatsapp akashindwa kusababisha vurugu tarehe 9 Desemba, njaa inaweza kuwepo lakini pia kuna msukumo unaoletwa na vita za kiuchumi.
Sisi sio wa kwanza kwa vijana kusababisha vurugu lakini nyuma yake zinakuwepo shilingi elfu hamsini wanazopewa katika mgao wa mashirika ya kibeberu yenye nia mbaya na taifa husika.
Siamini kwamba nchi ya Afrika ina watu wenye kudhani ni muhimu sana kufanya siasa huku wakiziacha fursa za kiuchumi zikawatajirisha watu wa mataifa mengine. Hayati JPM alipiga marufuku siasa na tukajikita kwenye ujenzi mkubwa wa taifa.
Samia ameruhusu siasa kwa maana ya mikutano, hao walioruhusiwa ndio hao waliojiapiza kwamba uchaguzi hautafanyika na watakinukisha, kama zisingekuwa zile risasi wapuuzi wale walikwisha iharibu kabisa Tanzania.
Hao vijana wenye kufahamu mambo ndio hao hao waliodanganywa na Mange kwamba nyinyi ingieni barabarani wanajeshi watawakuta huko huko mkiwa katika michakato ya kupindua nchi!. Hao vijana wenye uelewa ndio hawa wasiojua masuala mengi ya kawaida tu ya kimaisha.
Tanzania ina kila aina ya fursa za kiuchumi, ukiiweka akili yako katika kutaka kuzifahamu utatajirika vizuri tu lakini ukiiweka akili yako ikawa kituo cha kuupokea uchochezi kutoka kila kona ya dunia hautakuja kuzifahamu hizo fursa utaishia kuwa mwanaharakati unayesubiri amri za kipuuzi kutoka kwa Mange na Maria Sarungi.
Nimekuuliza ushahidi upo wapi? Hakuna jibu lakini unataka watu waamini Kenya wanahusikaMabeberu wapo kundi moja na hao hao Wakenya. Majirani zetu wanawahifadhi wanaharakati hata zile vurugu za October 29 upo uhusika wa Kenya kwa kiasi kikubwa.
Kuna vita ya uchumi kati ya Tanzania na nchi gani? Sisi tunaweza kumtisha nani kiuchumi.Ngumu kwako kuamini lakini ndio ukweli wenyewe, alipozuiliwa Mange asitumie mtandao wa whatsapp akashindwa kusababisha vurugu tarehe 9 Desemba, njaa inaweza kuwepo lakini pia kuna msukumo unaoletwa na vita za kiuchumi.
Hakuna ushahidi wa maelfu kupewa pesa. Yaani utoe pesa kwa maelfu bila kujulikana! impossibleSisi sio wa kwanza kwa vijana kusababisha vurugu lakini nyuma yake zinakuwepo shilingi elfu hamsini wanazopewa katika mgao wa mashirika ya kibeberu yenye nia mbaya na taifa husika.
Hizi ni internal strife hazina uhusiano na nchi za nje. Wazungu wakitaka rasilimali tutawapa tu! hawana haja ya kuchochoea vita. Majuzi Waziri Kabudi akihojiwa na Al Jazeera alisema '' Rais amekutana na Kaimu balozi wa USA na kumhakikishia kuhusu uwekezaj wa US nchinii''. Wakitaka wanachukua , sisi ni fukara wa akili !Siamini kwamba nchi ya Afrika ina watu wenye kudhani ni muhimu sana kufanya siasa huku wakiziacha fursa za kiuchumi zikawatajirisha watu wa mataifa mengine. Hayati JPM alipiga marufuku siasa na tukajikita kwenye ujenzi mkubwa wa taifa.
Mikutano na shughuli za siasa zimeanishwa katika Katiba, ni HAKI si fadhila. Hakuna anayetoa ruhusa Katiba inapotamka. Hao waliosema watakinukisha wapo jela tangu March, na mwingine alikamatwa bila kosaSamia ameruhusu siasa kwa maana ya mikutano, hao walioruhusiwa ndio hao waliojiapiza kwamba uchaguzi hautafanyika na watakinukisha, kama zisingekuwa zile risasi wapuuzi wale walikwisha iharibu kabisa Tanzania.
Well, Mange ana nguvu kuliko Serikali? Kwanini hao Vijana wamsikilize Mange na si Viongozi wa Nchi. why?Hao vijana wenye kufahamu mambo ndio hao hao waliodanganywa na Mange kwamba nyinyi ingieni barabarani wanajeshi watawakuta huko huko mkiwa katika michakato ya kupindua nchi!. Hao vijana wenye uelewa ndio hawa wasiojua masuala mengi ya kawaida tu ya kimaisha.
Miaka 64 nchi ipo kundi la nchi masikini sana duniani. Siyo akili ya mtu ni Nchi.Tanzania ina kila aina ya fursa za kiuchumi, ukiiweka akili yako katika kutaka kuzifahamu utatajirika vizuri tu lakini ukiiweka akili yako ikawa kituo cha kuupokea uchochezi kutoka kila kona ya dunia hautakuja kuzifahamu hizo fursa utaishia kuwa mwanaharakati unayesubiri amri za kipuuzi kutoka kwa Mange na Maria Sarungi.
Kuna masuala ya kiinteligensia hayawezi kuweka humu jukwaani, siri za kiusalama huwezi kuzianika humu kila mtu azifahamu hata hao hao maharamia wazifahamu.Nimekuuliza ushahidi upo wapi? Hakuna jibu lakini unataka watu waamini Kenya wanahusika
Nimekuuliza yule Mwanajeshi wa Kenya kashtakiwa mahakama gani? Hujui lakini unaaminisha watu alikuja kufanya vurugu.
Nimekupa sababu zaidi ya 5 zilizoamsha hisia na hasira za Wananchi kwa maneno yao , huja 'rebuttal'' hata moja
Je, si kweli kwamba Wananchi wanalalamika utekaji na kutoweka kwa watu?
Je, si kweli kwamba vyama vya siasa kupitia Mahakama, vimezuiwa kufanya shughuli ?
Je, si kweli kwamba Viongozi wa Upinzania wapo magereza na Oct 29 wote walikuwa mahabusu
Je, si kweli kwamba kuna lalamiko la ufujaji na matumizi ya fedha za umma yanayolalamikiwa?
Je, si kweli kwamba Wananchi wanalalamika kuhusu chaguzi za kupanga?
Je, si kweli kwamba kuna mgogoro kati ya serikali na taasisi za dini?
Katika hayo, mkono wa Kenya upo wapi?
Kuna vita ya uchumi kati ya Tanzania na nchi gani? Sisi tunaweza kumtisha nani kiuchumi.
Kaangalie GDP ya Kenya, Budget yao na yetu kisha ujiulize ni ushindani au vita? Hakuna vita na fukara!
Hakuna ushahidi wa maelfu kupewa pesa. Yaani utoe pesa kwa maelfu bila kujulikana! impossible
At least kwa sasa tungeshasikia hilo.
Hizi ni internal strife hazina uhusiano na nchi za nje. Wazungu wakitaka rasilimali tutawapa tu! hawana haja ya kuchochoea vita. Majuzi Waziri Kabudi akihojiwa na Al Jazeera alisema '' Rais amekutana na Kaimu balozi wa USA na kumhakikishia kuhusu uwekezaj wa US nchinii''. Wakitaka wanachukua , sisi ni fukara wa akili !
Yes kuna fursa za kutajairisha watu, jiulize miaka 64 ya Uhuru CCM ndicho chama kimeunda serikali, kwanini hadi leo sisi tupo kundi la nchi masikini! Tatizo sidhani ni Wananchi, nani anawaongoza inaweza kuwa.
Unachokiona ni kukataliwa kwa CCM ingawa kuna denial lakini nyuma ya pazia mnajua hilo.
Mikutano na shughuli za siasa zimeanishwa katika Katiba, ni HAKI si fadhila. Hakuna anayetoa ruhusa Katiba inapotamka. Hao waliosema watakinukisha wapo jela tangu March, na mwingine alikamatwa bila kosa
Waliotoka ni Wananchi , lazima mkubali ukweli.
Well, Mange ana nguvu kuliko Serikali? Kwanini hao Vijana wamsikilize Mange na si Viongozi wa Nchi. why?
Miaka 64 nchi ipo kundi la nchi masikini sana duniani. Siyo akili ya mtu ni Nchi.
Chama kilichoongoza miaka 64 ni CCM ikianza na TANU. Tatizo linakuwaje la mtu binafsi wakati Nchi ni masikini?
Tuna VX na maderaya ya Polisi mengi kuliko matrekta! gharama za Bunge ni kubwa kuliko Wizara ya Elimu.
Hatutaki kushindanisha mawazo kwa hofu ya kuambiwa ukweli.
Pesa zinapigwa watu wakiambiwa wakae kimya kwa Amani. Leo unalaumu victims
Umemsikia Judge J.S.Warioba? anasema Wananchi waambiwe watu wangapi walikufa. Mzee kasema waliokufa ni wengi kuliko waliokufa Vita ya Kagera! Usinijibu mimi mjibu mzee Warioba