PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu kwa nini ulikuwa unamtukana sana JPM?...
 
Bibi yako anaenda kunyea debe ICC.
ICC haiendeshwi na mihemko kama yako. Ushasikia statement yoyote kuhusu hicho mnachokisema nyie.
Fanyeni kazi hizo nchi mnazofurahia zimejengwa na ustaarabu na siyo vurugu za kipuuzi kama mnazohamasisha nyie.
Halafu watu mlioko USA na Kenya msijione kwamba nyie ndo mnaa akili na kwamba nyie ndo watanzania peke yenu. KaI kukaririshana maneno tu mara ICC wakati hata hamjui inafanyaje kazi.
 

Kwamba ICC huwa wanatoa statement kama chama cha siasa?
 
Kavaa bukta anasikilizia genzee wamefika wapi tayari kwa kukimbia nchi!
 
Kubwa jinga
 
Kwa ushindi wa 98% kisha kupingwa na Umma mbele ya uso wa Dunia dhahiri, wajiulize !
MO29 ilipelekea vifo vingi vilivyotokana na siasa kuliko vifo tangu Uhuru, Vita ya Kagera na marais 5 combined
MO29 ilikuwa litmus test, wanapaswa kufanya 'analytical test'' , watapa majibu nini kilitokea
Leo watu wameandamana kama MO29, tofauti ni kwamba wameandamana mioyoni si physical. Watafakari
 
Samia ni moja ya watu wa hovyo kabisa kuwahi kuishi ndani ya Jamhuri ya Muugano. Anapaswa kupingwa na kila mtu mwenye akiri timamu
 
Mkuu kwa nini ulikuwa unamtukana sana JPM?...
Hao ndio aina ya manyumbu kama kubwa lao Lucha a.k.a ZEZETA MUONGOZA NJIA, wanapenda hela za dezo, wakibinywa kidogo wanabwata.

Wakipewa pipi kidogo wanadata.

Huyu JINGA LAO Lusungo alikuwa karani wa mbowe, na kama unavyojua mbowe alivyofurushwa chadema mirija yote ya ulaji ikakata.

Kwa sasa kakimbilia CHAUMA anajifanya JASUSI kumbe lijinga tu linadoea ubwabwa.
 
Fanya tu haraka uingie studio na huyo samia wako ili mshushe vizuri mashairi yenu ya taarabu! Siyo kwa vichambo hivi.
Huyu Idiot ni Mbowe au ni mtu ambaye yuko karibu sana na Mbowe. Jaribu kufukua michango yake ya siku za nyuma, alikuwa anaisagia sana CCM kuwa ni chama mfu. Alikuwa ni CHADEMA kindakindaki. Mara baada ya Mbowe kushindw uenyekiti, ndipo alipobadilika na kulamba makalio ya Samia na CCM. Itakuwa alishatayarisha tumbo kwa kudhani kama Mbowe angekuwa mwenyekiti basi wangeachiwa nafasi za ubunge. Ana maumivu makali sana ndiyo maana anatukana hivyo.
 
Tuhimize umoja wa kitaifa, hatutafuti mshindi katika masuala ya kitaifa hivi unahisi chuki zikiendelea mtaani hata akiendelea kutawala tutakosa ushirikiano kutoka kwa jamii.
Haliwezi kuwa jambo jema hata kidogo.
 
Huyu Lusungo anasukumwa na chuki kwa Lissu toka Mbowe ashindwe uenyekiti.
 
YULE MWANAJESHI WA MAREKANI MWENYE KITAMBI ALIYEKAMATWA NA SUNGUSUNGU HUKO SIRARI AMEFIKISHWA MAHAKAMANI?
ILA POLICECCM KWELI HAWANA AKILI. WALIFIKIRI MKAKA WA SPECIAL FORCES AU REGULAR ARMY angekua na kitambi??
Ile idea lazima ilitetwa na Lawaz kichwa wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…