Huwezi kukaa meza moja na mimi na milioni yako ya 2025 sisi tuliishika milioni ya mwaka 2000Kwema wakuu!
Uliweza kupata milioni moja (Tsh 1,000,000) yako ya kwanza ukiwa na umri gani? Ulifanya kazi gani,uliuza nini ukaipata? Unaweza pia kushare uliitumiaje?
Huo ni wakati ambao milioni ilikuwa ni milion kweli kweli