Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha msiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?

42FD59B9-259B-4CB2-8B55-4E704AF2ACFA.jpeg


Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika Mashariki nzima.
 
Kwa shangwe hadi nikaanza kuwapigia watu wanaomkubali usiku ule, wengi walihuzunika ila mimi shangwe kwa sana. Ila nikajagundua nilikosea ila ndiyo hivyo hisia hazifichiki. R.I.P soldier ulitenda kwa namna yako..
 
Kwa masikitiko makubwa Sana!
Taarifa hio ndio ilikua kama umepokea "BARUA YA KUSIMAMISHWA KAZI".[emoji23][emoji23][emoji23]

Maana zile Elf 3 za bando kutoka ofisi maalum lumumba mlizokua mnapewa kila week, ili mje kuimba mapambio JF na Twitter, zilisitishwa rasmi.

Wenzako kina ISIS(Mzee Wa Walahii) ndio wakapotea mazima JF. Huyu mdudu sitokaa kumsahau maisha yangu yote, alikua anakera hakuna mfano. Ndio user aliekua anaongoza kunitukana JF haijawahi kutokea.
 
Taarifa hio ndio ilikua kama umepokea "BARUA YA KUSIMAMISHWA KAZI".[emoji23][emoji23][emoji23]

Maana zile Elf 3 za bando kutoka ofisi maalum lumumba mlizokua mnapewa kila week, ili mje kuimba mapambio JF na Twitter, zilisitishwa rasmi.

Wenzako kina ISIS ndio wakapotea mazima JF. Huyu mdudu sitokaa kumsahau maisha yangu yote, alikua anakera hakuna mfano. Ndio user aliekua anaongoza kunitukana JF haijawahi kutokea.
Siasa siyo Uadui
 
Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?

Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.
Lucky bar and restaurant kuna watu walitununulia bar na jiko zima bar ilifungwa saa nne asubuhi yake tukapewa supu ya bure wakituahidi tukutane arobaini yake
 
Back
Top Bottom