JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Hii siku mimi na majirani zangu hatukupata usingizi.Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?
Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.