Pole sana ndugu. HakikaKwa masikitiko makubwa Sana!
Taarifa hio ndio ilikua kama umepokea "BARUA YA KUSIMAMISHWA KAZI".[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa masikitiko makubwa Sana!
Nilikuja kufahamu baadae maana alinibania ajira nikawa kitaani napambana.....baada ya kufa nikaipata hiyo ajira....daaaah ajira yenyewe sasa 😥😥😥...We hufai
Siasa siyo UaduiTaarifa hio ndio ilikua kama umepokea "BARUA YA KUSIMAMISHWA KAZI".[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana zile Elf 3 za bando kutoka ofisi maalum lumumba mlizokua mnapewa kila week, ili mje kuimba mapambio JF na Twitter, zilisitishwa rasmi.
Wenzako kina ISIS ndio wakapotea mazima JF. Huyu mdudu sitokaa kumsahau maisha yangu yote, alikua anakera hakuna mfano. Ndio user aliekua anaongoza kunitukana JF haijawahi kutokea.
Pole sana ndugu yangu. Ktk maisha tunaondokewa na watu tunaowapenda sana na tusijua la kufanyaAisee ninakumbuka ulikuwa wakati wa UE aisee nililia mtu mzima nikapoteza ufanisi siku hiyo kwenye mtihani.it was the saddest day.
Walikesha wakinywa....kwa masikitiko? We mshana wewe.My apology kwa wale watakaokereka lakini eneo nilipokuwepo watu walikesha wakinywa kwa masikitiko mengi
Wewe kama wewe acha kusemea watu wengine ambao hujui nafsi zao ispokuwa Mola wetu mlezi tu.Nilikua majizi yatafurahi
Mungu alitoa fursa hasa kwa viongozi kujifunza namna nzuri ya kuongoza watu na sio kuwaumiza, sikufurahi lakini pia sikusikitika.
Lucky bar and restaurant kuna watu walitununulia bar na jiko zima bar ilifungwa saa nne asubuhi yake tukapewa supu ya bure wakituahidi tukutane arobaini yakeWakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?
Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.