Ulipokeaje na ulikuwa wapi siku ya tarehe 17 Machi, kifo cha Dkt. Magufuli

Kwanini unasema hakuna muelekeo
 
Duh [emoji22]

Pole mkuu
 
Mie nilikua kitandani najiandaa nilale nikapigiwa simu na sister angu ananiuliza kuna habari gani huko mjini nikamwambia huku shwari hakuna shari akasema mbona nasikia Rais amefariki?...
Yani meko kafa unalia
 
Kifo chake nakumbuka kilinipa ban ya kufa mtu hapa Jf mpaka jana nikipobadili ID
 
Nakumbuka nilikuwa nimeenda club kuangalia game ya chelsea na porto kama sio atletico..nikasikia majirani zangu wananong'oneza mara wanaoneshana video ya mama samia akiwa tanga,me nikadhani ni edit mbio mpaka jamii forum ndio nikaamini..Nilishtuka kidogo
 
Ilkua nmelal bro akaniamsha kunambia..aseee!!! Sikuamin nkajua km utan ikanibid niwashe TV nachek TBC nakuta Mama samia anatangaza aseee!!! Bado nliona Kama naota maan hakukua taarfa zozote official kua mzalendo anaumwa ilinifanya mpk usingiz ulikatka

Continue to rest easy mzalendo..[emoji1488][emoji1488][emoji1488]
 
Mpaka umri wa kuoa hujawahi kufiwa hata na ndugu ukaonja machungu ya msiba. Kwa nara ya kwanza ukayaonja kwenye kifo cha JPM jokate mwenyewe alikuwa anasmile tu
Serious brother.misiba ilitokea kipindi nikiwa bado mdogo sijui hata hili na lile.ukiachilia mbali vifo vya marafiki na majilani ila Cha jpm kilinikomesha sio siri
 
Serious brother.misiba ilitokea kipindi nikiwa bado mdogo sijui hata hili na lile.ukiachilia mbali vifo vya marafiki na majilani ila Cha jpm kilinikomesha sio siri
Kilikukomesha??? Like seriously [emoji848]
 
Daah 😒😒😒 siku hiyo naamka Asubuhi saa 12 kawaida yangu kuangalia taarifa ya habari nafungulia UTV laa haulaa πŸ™ˆπŸ™ˆ naona watangazaji wamevaa nguo nyeusi nyuma yao kuna background ya JPM nilihuzunika sana mwili ukafa ganzi
 
Pooole[emoji848]
 
MUNGU ALIOKOA TAIFA LILILOKUWA LINAANGAMIA!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ukajua wanakulilia wewe[emoji1787]
Nilijua wananililia mimi, nikasema niwafanyie suprise kuwa nimefufuka katika wafu lakini nikaona hawana kabisa habari na mimi. Kuna jamaa yangu na yeye mnywaji kama mimi ndio akawa analia huku anataja Magufuli! ndio nikajua wanamlilia Magu na sio mimi.
 
mimi nilipiga masanga sana huku niliko yaani kuna vodka moja ya kisoviet niliikamua yote mpaka nikata kuzima kiufupi nilifurahi sana maana mbwa yule amewatesa sana watu kwa ukatili na ubabe wake , kwa ufupi hana maana kabisa yule fala
 
Haaahaaahaa...umenichekesha asubuhi hii[emoji16][emoji16]
 
Acha kutisha watu mjinga Wewe. Unalazimisha watu wahuzunike kwa Shetani wa Gamboshi Magufuli!
Msukuma wa hedi mkubwa. Haya kaliwa na funza sasa mfuate huko aliko. Pfuuuuuu
Wewe utaliwa na mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…