Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ingia ingia uwe mmoja wa wana kondooo
Zaeni matunda meeemaaaa, zaeni yenye baraaaka, zaeni.............................. zaeni ya heeeriiiii, bwanaaa, akiyapokeaaa, yatabarikiwa vemaaaaaaaaaaaaaaaa....................................
nyie watu tulisali wote naonatoa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe nilikuwa naona nyama ya kuchoma ileee au maini ya kukaanga baba kapika
mimi wa madrasa na ninachangiaNilitaka kushangaa kama kuna Mkatoliki angechangia hapa.
Wakatoliki hatuna Sunday School.
kwa kwelinyie watu tulisali wote naona
ha ha ha umetishaHalafu huu wimbo lazima kuwe na viherehere wawili yaani anaeseeema
Miiiiiiiiiileleeeee
Na kundi la masela wanaitikia
Daimaaaaaaaaaa
Yaaani unaitikia mpaka unasikia koo linataka kung'oka
ndiyo babyNa ndio maana ukanipa bebi wangu bila hata hiana.
hili pambio ilikua kila nkiliskia nakumbuka sh tano yangu mfukon daah. nilikua nahis ananion kweltoa ndugu toa ndugu ulicho nacho wewe bwana anakuona mpaka rohoni mwako!
hili pambio ilikua kila nkiliskia nakumbuka sh tano yangu mfukon daah. nilikua nahis ananion kwel
Ndio ulichokiona hcho mkuu basiHuo ni wimbo na si pambia!
Naona hapa maharagwe yanachanganywa na kabichi
nyie watu tulisali wote naona
mimi wa madrasa na ninachangia