Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
hongera kaka askariMchoraji, askari, daktari, msanii , boss mwana sayansi like da Vinci , rubani hasa jet fighters hii mpaka saiz
Ila kimoja kimetiki.
Dadavua mkuu. Bwana yaani?... nilitamani niwe bwana wa mwanamke fulani Ambaye sasa hivi ni mzee mno kwangu!
😅
... huyo bibi, enzi zile, alikuwa tishio mtaani kwetu! .... kiasi 'fantasies' zangu zote zilikuwa ni mapenzi mazito baina yetu!Dadavua mkuu. Bwana yaani?
Hata urubani wa aviator umekushinda?Nilipenda sana kuwa rubani ila maisha yakacheka sana yakaniambia we hujajua kua kwanza uyaone.
Niwe sheikh, ulamaa mkubwa na pia niwe msomi . Kwa bahati Ulamaa na usheikh sijaupataWakuu,
Leo ni Siku ya Watoto Duniani! Ulipokuwa mtoto, ulitamani kuwa nani?
Je, umefikia ndoto zako, au bado unazifanyia kazi?
Kumbuka, ndoto za watoto ni halali na zinaweza kutimia! Tuendelee kujenga mazingira yanayowawezesha watoto wetu kufanikisha ndoto zao
Nilikuwa nawazaga kuwa daktari siku mzee mmoja akanipeleka kule wanakojifunzia madaktari kwa ile miili ambayo imekoswa ndugu toka Ile siku sitaki tena kusikia hzo habariWakuu,