Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,365
- 2,842
Na kwa sasa umekua nani?Mimi nilikua natamani nije kuwa mwalimu, ili nichape sana watoto, hii ilikuja baada ya kuona walimu wanafaidi kutupiga 😀.
Baadaye nikaswitch nikatamani niwe muuza duka yaani ile exchange ya unampa mtu bidhaa anakupa hela nilikua naipenda sana😀