Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Nakumbuka wakati nipo darasa la 2 au 3 nilikua nilienda bank na mzee, nilikua nataman Sana na mimi kuwa banker nashukuru Mungu nilitimiza ndoto zangu kwa miaka kumiWakuu,
Leo ni Siku ya Watoto Duniani! Ulipokuwa mtoto, ulitamani kuwa nani?
Je, umefikia ndoto zako, au bado unazifanyia kazi?
Kumbuka, ndoto za watoto ni halali na zinaweza kutimia! Tuendelee kujenga mazingira yanayowawezesha watoto wetu kufanikisha ndoto zao