Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wa ile ndege ya dipresheniMie nakuwa rubani soon🤣
Ule hapana 😂Hata urubani wa aviator umekushinda?
😀😀😀Sijawahi kutaka kuwa kitu yani nilikua nipo nipo tu.
Kivipi mkuu wakati mimi nilitaka urubani wa ndege.Unaweza kuwa rubani wa maisha yako 😄
😅😅😅, ungekuwa zako tu Teacher 👨🏫Mara ya kwanza kabisa nlitamani kua mwalimu baadae nikaswitch nikatamani niwe mwanasiasa ila nikagundua siasa ni unafikiri nikatamani niwe expert wa masuala ya TEHAMA
HypotheticalKivipi mkuu wakati mimi nilitaka urubani wa ndege.
Wanakula bakora haswaa 😂😂😂 washenyente
We kimario najua ulitamani kulitafuna wowowo langu.Hypothetical
Kama umeshindwa kuwa rubani wa ndege basi unaweza chukulia maisha yako ni kama ndege na wewe ndio rubani 😄
Nina hamu nalo kweli hilo 😋We kimario najua ulitamani kulitafuna wowowo langu.
Hebu njooNina hamu nalo kweli hilo 😋
Na lilivyo na joto 🔥Hebu njoo
Majukumu yashakuwa mengiii na uzee unapiga hodi.Hujachelewa mkuu, unaweza kuwa, anza kusoma CPA
Yani wewe nakupa loteNa lilivyo na joto 🔥
Ilikua utoto bn, Nlikuwa naona kama walimu ni watu wanaenjoy sana😅😅😅, ungekuwa zako tu Teacher 👨🏫
Chuo nlisoma TEHAMATotoo umetimiza? Au bado unaswitch!
😂😂😂Ilikua utoto bn, Nlikuwa naona kama walimu ni watu wanaenjoy sana
nilitamani kuwa kama PabloWakuu,
Leo ni Siku ya Watoto Duniani! Ulipokuwa mtoto, ulitamani kuwa nani?
Je, umefikia ndoto zako, au bado unazifanyia kazi?
Kumbuka, ndoto za watoto ni halali na zinaweza kutimia! Tuendelee kujenga mazingira yanayowawezesha watoto wetu kufanikisha ndoto zao