Ulipokuwa mtoto ulitamani ukiwa Mkubwa uwe nani?

Duh sikumbuki vzr nilitaka kuwa nani. ila nazan ilikuw ni kuiga mkumbo tu. atachosem rafik yak na ww unakut unatamka kuwa natak kuw Fulni.
lakin kitu ambacho nilitaman kuwa kipind nipo chalii ni kuwa dereva tena Dereva wa IT.
Na sikuwah hatasiku sikuizo kuwaambia Wazaz wangu kuhusu hii kitu. nilikuwa nataj tu vitu vingine πŸ˜…πŸ˜
 
Mimi mpaka leo sitamani kuwa yeyote bora napumua sidaiwi siumwi watoto wanasoma wanakula wanafurahi fungu lolote mimi napokea.

Hii dunia ni mbaya sana,ukiishi na matarajio makubwa kichwani utakwapua vya watu bure ukafie jela bora uache maisha yaende yanavyotaka.
 
I asked my self,
Will I be rich?
Will I be handsome?
Whatever will be, will be
The future is not ours to see.
Quissera sera, whatever will be, will be. The future is not ours to see. Quissera sera, whatever will be, will be.

FROM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…