Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Demu itakuwa reception haisomeki au age imejongea, yaani w'ke hawa pisi kali akuheshimu na pesa anayo!
 
Kuna wanaume wana bahati
Ya mtende yani, sema pia demu amelelewa kwenye maadili bora na anatoka familia nzuri! Kuna ile binti amelelewa katika hali ya kuheshimu watu tu so haijalishi ni broke au rich yeye ana adabu zake na anamtazama mume kama kiongozi wake!

Hawa ambao wamekulia maisha magumu wakitoboa lazma wakuvimbie yani kama kidume haupo sawa lazma uipate fresh ya shamba vichambo na masimago ya kiwango cha SGR
 
Aisee wee hujui wanawake...trust me wapo wametoka middle class lakini mapenzi hamna wanaangalia uwezo wa kidume financially.

Usijidanganye kabisa women poor or rich majority wanaangalia mwanaume ana nini na sio kwamba wanapenda.
 
Mwanaume kama huna hela utaishia kupendwa na Mama yako mzazi๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Wewe mwanamke ana heshimu pesa uliyo nayo na sio anakuheshimu wewe kama wewe
Shida mmezoea wadangaji wa mjini Daslam! Tembeeni muone jamani, ukiona mwanamke anatanguliza maslahi mbele jua hajakupenda tu wala hujamuingia moyoni!

Mtindo ni uleule kama demu uliekuwa unamzimia ukiwa form 2 halafu ukamtokea akakutosa kwa kishindo na dharau, huku na huku kuna mvuta bangi mmoja akawa anapelekewa tunda anajilia tani yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukajiuliza maswali bila majibu!

Love is an emotional attachment bro atleast for the one who trully feels for you!
 
Shida mmezoea wadangaji wa mjini Daslam! Tembeeni muone jamani
Hamna cha wadangaji wala nini. Pesa ni ulinzi alisema mfalme sulemani.
Women look for the security that money provides pure and simple nothing more nothing less, haijalisha katoka katika familia gani.

Huko first world kwenyewe kwenye kuongoza haki sawa kwa wote likija sula la mahela wanawake wananyuti na kumuangalia mwanaume.
 
Haipingwi ila neno lako sio sheria! Sababu wapo mademu wakali na wanaliwa na wauza mikaa tu ama mafundi kushona! Una justify vipi statement yako?
 
Haipingwi ila neno lako sio sheria! Sababu wapo mademu wakali na wanaliwa na wauza mikaa tu ama mafundi kushona! Una justify vipi statement yako?
Kaka kuliwa na kuwa nawe kama mume au mke ni mbingu na ardhi.
Second nionyeshe mwanamke mzuri mmoja anayeliwa na muuza mkaa mie nitakuonyesha 1000 ambao wanaliwa na matajiri. Exceptions zitakuwepo na human stupidity knows no boundaries.
 
Wapo wengi tu ambao wanaliwa mkuu na ishu ni mapenzi tu wameziacha hela sema tu wahuni huwa hawaoi pisi kali hizo
 
H
Huu mtindo unaitwa comeback yani unarudisha golizote ulizofungwa halafu unamuongezea goli moja mbele๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Wapo wengi tu ambao wanaliwa mkuu na ishu ni mapenzi tu wameziacha hela sema tu wahuni huwa hawaoi pisi kali hizo
Wengi compared to wangapi wazuri ambao hawaliwi?
Alafu tumbua kitu kama kweli wanaliwa na wauza mkaa lakini kaolewa na mtu mwenyewe mihela thats already says it all. So i rest my case.
 
Wengi compared to wangapi wazuri ambao hawaliwi?
Alafu tumbua kitu kama kweli wanaliwa na wauza mkaa lakini kaolewa na mtu mwenyewe mihela thats already says it all. So i rest my case.
Haina noma meku! Tuishie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ