Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Yani we acha tu aise...
Nikikumbuka tulivyokuwa tunakula ugali na maji yenye chumvi[emoji17][emoji17][emoji17]sitamani wanangu wapite huko aiseh ni maumivu lakini pia imenifundisha maisha.

Kwa ufupi maisha niliyoyapitia yamekuwa funzo tosha..ndo mana nikimuona mtu anapitia shida hasa mama na mtoto natesekaga sana.naumia zaidi nikiwa sina uwezo wa kumsaidia kwa kipindi husika.[emoji24][emoji24]

lakini mtu akiona miandiko humu ndani anajua huyu wa kishua haijui shida[emoji1][emoji1]my friend acha tu aise.

Shukrani za dhati kabisa zimuendee dear Ex kwa kunionesha mwanga wa maisha.Mungu amtunze,amfungulie kila aina ya kifungo kilichofungwa juu yake bila yeye kujua,aendelee kuwa mzima wa afya maradhi yapite mbali nae,aishi maesha marefu yenye afya na uzima,milango ya Baraka ikafunguliwe juu yake,Baraka tele zikamiminike katika uzao wake Amen.
J,Mungu akutunze mwamba unamoyo wa ajabu mno.
Kwa sifa ulizo mpa Ex akiomba gem lazima hapewe
 
Asiyejua maana haambiwi maana.

Hamna wanawake we K tamu, K nene, K taiti, K utelezi, K bilian ,K sambusaa,K juice, K Futariiii kama K za Mabonge .
Wana sumbua kwenye ndan ya uwanja hawa kabi wanakabia macho
 
Kwa sifa ulizo mpa Ex akiomba gem lazima hapewe
Nilitaka kushangaa huu uzi wote uishe akosekane wa kucomment kama wewe.

Chief,kuna watu wanakuja kwenye maisha yetu kwa sababu ya lengo fulani pengine hata mimi sikuwahi kulijua ila baadae ndipo niligundua.

Kuna mapenzi na ngoni.wewe unamaanisha kipi?hebu tuanzie hapo kwanza
 
Sababu mbalimbali,

Anakukataa kwa dharau Sana, kwa sababu anakuona tu kwamba huna chochote kwa wakati huo kwa sababu huna tabia za kujiinua. Lakini baada ya siku kadaa anagundua kwamba uko vizuri,anaaza juhudi za kutaka kukukubali.

Anakukataa kwa sababu huna kitu kwa wakati huo kwa sababu labda ulikua kimasomo zaidi,au unatafuta faranga,kimwonekano hukua vizuri. Baada ya muda Fulani, kupita unapata maisha baaab kubwa,anaanza kukutafuta ili akukubali,

Anakukataa kwa sababu unaonekana upoupo tu,lakini kwa bahati anasikia habari zako, kutoka kwa watu anaowaamini, anaowakubali na anao watamini sana wakikusifu sana, kuwa wewe ni mtu wa maana kabisa, mtu Bora kabisa.

Kisha akaanza harakati za kutaka kukukubali. Ulishawahi kukutana na Hali hizo?

Ulipokutana na mtu au watu wa hivyo ulichukua uamuzi gani?
Ningependa kujua hapo nani mwenye shida na mwenzie, na usiogope kuchunguzwa ili kufanya maamuzi sahihi. Ukiona hivyo kinahakili ati
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa viumbe ni pasua kichwa halafu kutwa kujilalamisha mitandaoni kujifanya wao ndiyo victims wakati wao wana maajabu yao makubwa kuliko sie
Tena maajabu yako ni makubwa kuyazidi yale maajabu ya dunia
 
Wana sumbua kwenye ndan ya uwanja hawa kabi wanakabia macho
Unajua nn mkuu, binafsi sipend dem anayekata kata viuno naonaga ni kero tu

Huwa nataka nimpelekee moto mwenyewe

Hii mibonge ukiwa na Hogo, alafu uliweke mikao mikao fulan ivi ,utalienjoy sanaaa

Huwa nayapiga sanaa tu .

Binafsi mwanamke mwembamba., labda aniahidi kunenepa baada ya kuanza kumtunza.
 
Nilitaka kushangaa huu uzi wote uishe akosekane wa kucomment kama wewe.

Chief,kuna watu wanakuja kwenye maisha yetu kwa sababu ya lengo fulani pengine hata mimi sikuwahi kulijua ila baadae ndipo niligundua.

Kuna mapenzi na ngoni.wewe unamaanisha kipi?hebu tuanzie hapo kwanza
Maana umemsifia Sanaa, je akikuomba penzi utaweza kukataa?
 
Ni miaka zaidi ya mitano Chief..tumeshawahi kuonana katika mazingira ya kawaida lakini hakuna yeyote kati yetu anaemtaka mwenzake.anamaisha na ndoa yako hilo ni la kuheshimu zaidi.
 
Ni miaka zaidi ya mitano Chief..tumeshawahi kuonana katika mazingira ya kawaida lakini hakuna yeyote kati yetu anaemtaka mwenzake.anamaisha na ndoa yako hilo ni la kuheshimu zaidi.
Mmm ongera yko kwa ilo, lakin inamaana hamkuwa mkipendana kihisia kabisa?
 
Mmm ongera yko kwa ilo, lakin inamaana hamkuwa mkipendana kihisia kabisa?
Dingi lai unanipeleleza sana.itoshe kusema kuwa ndie mwanaume aliyenifundisha mwanaume halisi anatakiwa aweje kwa mwanamke wake.

Mwamba alikuwa ni mwana sana ingawa mimi na yeye tulikuwa na tofauti ya 12yrz
 
Back
Top Bottom