Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Huku kwetu Arusha wapo wamasai waislamu,ila ni wale waliobadili dini!!na wanaswali vizuri tu
Ila asilimia kubwa wanakataa Uislam wanadai hiyo dini inazuia kula ng'ombe asiyehalalishwa! Na hawawezi kutupa ngombe wao akifa zizini [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
tatizo uislamu unatukataza kula kibudu ng'ombe wangu unipangie wa kumla? no thank u,kama ilivyo kwa wakristo kutupangia idadi ya wanawake wa kuoa...hapana kwa kweli matunda yote haya halafu unipangie nichume mti mmoja tu...
 
Hahahaaa...sipati picha hiyo asylam alyeikum itavotamkwa kwa kimasai...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata kule mbeya sijawahi ona mmalila ambaye ni mwislam
 
alafu hawana sauti ya bezi wameji-edit sauti zao eti, wameongeza trebble kudumisha mila.
 
Mambo mengine non sense mmasai muislam ili iweje unataka akufungishe ndoa?
 
Sidhani kama north korea kuna uislamu au ukristo.
korea kaskazini kuna wabudha na dini ya pili ni ukristo wengi tu na wengine wanatokea korea kusini kama hujui pekua tatizo hampekui mupo mupo tu korea kusini ndio yenye wakristo wengi
 
E="ArD67, post: 21386833, member: 398629"]Albino mmasai? Sio kwamba huwa hawazaliwi, ila hawapo. Labda kwa ndugu zetu wakenya, kama wana masai albino, wanacheka mauaji ya albino ya Shinyanga.[/QUOTE]
Masai kuzaa albino ni nadra kww vile hawajamiani ndugu wa karibu kama makabila ya kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom