Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Hamaelewa lengo la mtoa uzi. Mgeelewa lengo lange mara moja mgemwita mchochezi.
 
Kwa gharama zozote niko tayari kwenda kumuona uyo masai muislam mwenye msikiti kabisa.. Isiwe tu nje na Africa mashariki apo ntakua sina uwezo
 
oldest-catholic-churches-gulf-countries.jpg

saudia hakuna kanisa mkuu,
labda usemee syria,iraq,

saud hairuhusiwi
 
Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?

Karibuni wakuu
marehemu Mollel katibu wa bawata mkoa wa Arusha miaka mingi huko nyuma
 
E="ArD67, post: 21386833, member: 398629"]Albino mmasai? Sio kwamba huwa hawazaliwi, ila hawapo. Labda kwa ndugu zetu wakenya, kama wana masai albino, wanacheka mauaji ya albino ya Shinyanga.
Masai kuzaa albino ni nadra kww vile hawajamiani ndugu wa karibu kama makabila ya kanda ya ziwa[/QUOTE]
Ati!!!! Hawajamiani ndugu wakaribu kama kanda yaziwa? Haya nimatusi ya lejaleja, enjai ya kyasha mkowapi?
 
Kwa gharama zozote niko tayari kwenda kumuona uyo masai muislam mwenye msikiti kabisa.. Isiwe tu nje na Africa mashariki apo ntakua sina uwezo
Link It's 'Allahu Akbar' as Islam spreads across maasailand

Link2. http://www.mission-alnoor.org/Admin/asp/Mailed_details.asp?M_ID=771

Maasai faith and religion
In their monotheistic traditional beliefs, the Maasai god (Enkai or Engai) was manifested in two forms: the black god, who was benevolent; and the red god, who was vengeful. Today most of the Maasai tribe are Christians and a minority are Muslims.

Link3. Maasai Tribe (Masai) People of Kenya - History and Culture
 
Nimefikia utu uzima lakini sijaona, wapo tatizo ni mimi kuwaona. Hata hivyo nawapongeza kwa kuzingatia utamaduni wao. Hawataki kuingia kwenye utamaduni usioeleweka.
 
Back
Top Bottom