Ulishawahi kukutana na mwanamke/mwanaume mtandaoni akaku-prove wrong kinyume na matarajio kabla ya kuonana live?

Ulishawahi kukutana na mwanamke/mwanaume mtandaoni akaku-prove wrong kinyume na matarajio kabla ya kuonana live?

hongera sna mkuu,kama kuskia bahati ndo hizo aise[emoji3][emoji3]
 
Lenie mbona umebonyeza litufe la kunicheka kwenye comment yangu.

Uache uchokozi ujue.

hahaha
 
Back
Top Bottom