Ulishawahi kukutana na mwanamke/mwanaume mtandaoni akaku-prove wrong kinyume na matarajio kabla ya kuonana live?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

hongera sana
 

uuwiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah
 
Nilikutana na baba mtu mzima humu 48 yrs.
Anajinasibu hana mke ni kweli hana mke.
Aliniprove kuna watu wazima ovyo.
Loh ... mi ninavyokuhusudu unaangaika na hao wazee ? Hivi nilishakutongoza au bado?
 
Hongereni sana kwa ndoa yenu, ila uzao wa mapacha n mzuri sana, kwetu pia wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…