Ulishawahi kukutana na mwanamke/mwanaume mtandaoni akaku-prove wrong kinyume na matarajio kabla ya kuonana live?

H Hahahaaa duuh nimekumbuka mbali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi wanawake mnaong'ang'ania wanaume mnakuwa na shida gani? Mi wasap tu huwa simuamini mwanaume yoyote ndo ije humu kwa watu wasiojulikana thubutu labda kama tunafanya biashara hapo tunaonana kupiga dili na sio kulana tunda
 
Kwahiyo mzee, ukapata mke kimasihara [emoji23]
Baada ya kujikita kusoma sana nyuzi za watu na mimi leo naandika uzi wangu.

Miaka mitano huko nyuma nilikuwa na tabia ya kutumia ukurasa wangu wa facebook kushare mambo yanayohusiana na utaalamu wa fani yangu, na watu wengi wakawa wanachangia maoni
 
Ghafla paa... Naona meseji inaingia messenger

Kucheki profile naona mtoto mkaaale

Nikasema huyu binti atakuwa kaona profile kaizimia chata

Siku ya kwanza story za kawaida, siku pili ananipa story za kutajirika kupitia forever living

Sikugeuka nyuma, mpaka kesho [emoji24]
 
Hivi wanawake mnaong'ang'ania wanaume mnakuwa na shida gani? Mi wasap tu huwa simuamini mwanaume yoyote ndo ije humu kwa watu wasiojulikana thubutu labda kama tunafanya biashara hapo tunaonana kupiga dili na sio kulana tunda
Wanawake wenye sura za kiume mnajulikana tu kwa comment zenu hahaha
 
Kwa hiyo kwa kifup ni kwamba mkeo alijitongozesha kwako,? anyway hongeren Sana hamkupotezeana muda
 
Mkuu hakuna mtu mbaya, sema macho yako yaliona ivyo, hapa duniani kila mtu anawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…