Nice story, u can meet anyone anywhere.... Watu huwa tunacomplicate tu unnecessary... Hongeren.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iliwah kunikuta siku moja beki 3 wa broo kanitukana mbele ya mafundi home aisee nlijuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanajikutaga matawii saa nyingine hawa kenge... hasa ukute bro nae alitupia kamba hivi

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Lengo la kunywa chai wakati unaenda kujiua muda huo huo lilikua nini mkuu? Au ndio hukutaka kuondoka ulimwenguni ukiwa na njaa[emoji28][emoji28][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hata Mimi nashangaa! Au alitaka afanye safari ya mbinguni akiwa ameshiba, akifika huko asiwasumbue wenyeji wake na njaa...
 
Wadada / wanawake wakielezea namna waliliwa kimasihara baadhi yetu tunawashambulia kwa maneno makali nadhani hii ndio sababu miongoni mwao wana simulizi lakini wakiona namna wenzao waliopost wanavyoshambuliwa wanaamua kupotezea simulizi zao.
Kwanini mwanaume akila kimasihara ni sawa lakin mwanamke anaonekana sio? Hii sio sawa
 
nimeanza kusoma uzi sa tano nimemaliza sa saba ....masihara yadumu milele...
 
Nimeenda kikazi Loliondo, nimefika kilodge nacho lala pale kuda dada mmoja wa kimasai/kimbulu, kanihundumia fresh, nikapata rum nikaseto, jion nikatoka kwenda kukaa sehemu na mwenyeji wangu wa kule tupige stori nijue kazi nafanyaje ili keshokutwa niondoke, wakati natoka lodge tukabadilishana namba za simu na yule sister ili kama kuna lolote anijulishe sababu pale lodge niliacha my valuables na nilikuwa sipaamini kivile. Kesho yake kazi ikaenda fresh keshokutwa natakiwa niondoke, siku niliomaliza kazi nikarud pale lodge mida ya mchana, nikamkuta tukaongea kawaida tu nikamwacha nikaingia rum, jion sasa nikatoka tena niende sehemu nikale , nikamwaga fresh nikarud mida ya saa nne usiku nikakuta yeye anataka kusepa na hela yake ya siku hiyo sijamlipa, akasema nlikuwa nakusubir wewe then me niondoke makake kesho yake naamsha asubuh sababu magari ya kule kwenda arusha yanatoka saa kumi na moja.

Nimekula maji kidogo namwangalia namwona mzuri japokuwa sio mbaya kivile ila mweupe sana , nikamchomekea me naogopa kualala mwenyewe yan kitutani tu nkamwambia njoo tulale wote akasema ngoja kwanza niende nikawaangalie watoto nyumbani, akaenda, nimelala saa tano napiga simu kinapokea kitoto chake daah, alafu kinachoongea sikielew, huyu mwanamke akapotezea mazima nkaamua kulala, mida ya saa kumi ivi nashtuka, kidogo simu inaita, kupokea yule mwanamke, ananiambia nlisahau kukupa sijui sabuni ngoja nije, nadhani hakai mbali na pale, kaja kanipa sabuni akasema nna usingizi naomba nipumzike kidogo, kaingia ndani, nikafunga mlango nikala vyangu nikaoga nikampa hela kidogo nlimwonea huruma nikaamsha sijui jina lake, sijui nini..sijawah kwenda loliondo tenaa. KIMASIHARA...
 
K VANT ILIVYOFANYA NIKAMLA DEMU WA RAFIKI YANGU,,

Mm nina rafiki yangu ambaye tulifahamiana kupitia unywaji,,
Siku moja niko na mpenzi wangu katika bar moja ambayo ndio huwa napotezea muda baada ya shughuli zangu,
Tukiwa tunamalizia kupata chakula mm na mpenzi wangu,gafla rafiki yangu nae akawasili tukawa watatu,
Baada ya nusu saa hivi niliagiza maji na K vant kubwa tukaanza kushare na story za hapa na pale,rafiki yangu akawa anajitahidi sana kumshawishi mpenzi wangu nae anywe k vant maana yeye alikuwa anakunywa serengeti lite,
Kweli baada ya kuwa amechangamka kidogo pia alianza kunywa k vant huku akichanganya na maji mengi,
Tukiwa tunaendelea ikaagizwa k vant nyingine na rafiki yangu akamuita pia demu wake baada kama dk 10 akawa amefika na bodaboda ,akajiunga mambo yakawa bambam,
Tukawa tunakunywa ilipofika majira ya saa mbili usiku nikatoka nikaenda kuchukua chumba kabisa ili kukamilisha burudani,
Sasa ile narudi tu nikakaa kwenye kiti change shemeji yangu demu wa rafiki yangu akaniuliza kwa nini C (basha wake) wanakumbatiana ?
Wakati huo jamaa yake alienda chooni nikamuuliza mpenzi wangu kutaka kujua walikuwa wanaongea nini na shemeji yake?
Akadai hawajaongea kitu,sasa ajabu baada ya kumuuliza rafiki yangu akamaind na kuondoka bila kumuaga demu wake, nikajua kuna kitu nyuma ya pazia,gafla demu wangu nae kamaind kaondoka nikabaki na shemeji pale,
Nikamwambia jamaa yako atakuwa ameenda mgonga demu wangu ,sasa nisindikize nikadai pesa yangu ya chumba hata nusu kisha tusepe,akakubali haooo mpaka lodge nikafungua yeye akapita moja kwa moja mpaka chooni,alivyotoka huko analia jamaa yake amemuonaje nikamtuliza akajilaza nikazima taa nami nikajilaza,dakika tano nikamuamsha akaoge kisha nami nikaoga na ule ulevi wa k vant mnara umekakamaa kama ubao,baada ya kuoga tu nilianza kumpelekea moto ni nje ndani tu,wazungu hawatoki to.....mba sana mpaka akaomba nimsamehe kachoka ,nilipiga mashine mpaka mle ndani nikawa nahisi harufu ya **** tu mpaka nikashusha mzigo,tukalala saa 11 alfajili nikamuamsha yeye kalala tu ananiambia wewe nenda tu ,nikamuachia buku 5nikasepa,
Saa sita hivi mchana naona simu yake napokea ananilaumu tu kuwa nimemkomoa na ndio anaamka mwili hauna nguvu na guest wamemwambia atoke muda umeisha,
Ikawa imeisha hiyo demu wangu nikampiga chini toka siku hiyo na rafiki yangu pia akanipigia kuniomba msamaha kuwa tusameheane lakini hakuwa na nia mbaya,,ikawa imeisha hivyo
 

Kula tano man[emoji1306]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…