Nikazama kwenye email ni ka type fasta jina lake likaja na namba yake, nikapiga ikawa inaitaa wewee nikajua Mzee Baba nimechemsha, mara gafla akapokea nikamwabia mimi ni fulani, akasema okay ngoja niisave namba yako. Siku hiyo nilikuwa na wenge la ajabu sana, najiuliza nimpeleke wapi hiyo out jioni, je atakubali au atazingua, Shetani alivyo wa ajabu hiyo siku ilienda kasi baalah mara saa moja jioni ishafika.
Nikarudi Home fasta nikapata wazo ni mpeleke kule Beach za Chuo cha Saut maana kule ndio kulikuwa karibu na Gheto, saa Moja na nusu usiku nikapiiga simu haikupokelewa, nikajisemea hapa nishachinjiwa baharini, nikawa Gheto nikahamua tu nijiboost tu Wisky kidogo, baada ya dakika kumi na nane hivi nikasikia mlio wa SMS, lile wenge si la kitoto maana uwezi jua kama ni mi SMS ya promosheni ya Voda au ya yule Pisi nadhani mabaharia situation kama hiyo huwa mshapitia.
Kucheki SMS nikaona jina yule Pisi "Sorry nilikuwa kwenye kikao cha Majumuisho, nipo Hotel... we uko wapi?. Hii sms Mzee Baba ukipata kama hii kwa PISI unayoitunuku inatibu magonjwa yooote yaani Ebola, Dengue, Kisukari , Kansa..
Mzee Baba nikarply nikamwambia nakuja dakika sifuri, maana kumbe akufikia mbali sanaa na napokaa, nilivyofika tu nikambeba kwenye Ndinga, akasema unanipeleka wapii? Nikamwambia ni surprise Dear! Ujue kwa sisi ambao tumezaliwa Dar tunahamini Dar ndio kila ila Mzee Baba tunajidanganya kuna sehemu uku Kanda ya Ziwa ukimtoa mtoto mkali out na ndio labda first time kufika haweza amini kama yuko Mwanza, maana hilo chaka limetulia kuna kaupepo fulani cha Ziwani tofauti kabisa na cha Baharini.
Itaendele soon..