Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mara nyingi ukimpa mtu msaada zaidi ya asante usipokee chochote kutoka kwake, yamkini akawa si mtu mzuri, ila akaamua kuwa mzuri kwako sababu umemsaidia. With time yanaweza tokea mabaya. Japo pia anaweza kuwa ni mtu mzuri tu genuine.

Please wadogo zetu wa kiume ili kupunguza malalamiko na kataa ndoa humu Jitahidini kuwachunguza vizuri mnaoingia nao katika mahusiano, hili laweza kuwa si kwaajili yako tu hata kwa ajili ya wanao, Yamkini huyo binti leo akapata mimba, atafaa kuwa mama wa wanao?

Sisi tupo hapa mkihitaji washauri siku za usoni.
Naunga mkono hoja.
 
Endelea kijana, jiko ushapata, nakuhakikishia
 

Attachments

  • 20231101_050100.jpg
    20231101_050100.jpg
    51.9 KB · Views: 50
Wakuu Habari!

Juzi nikiwa nimekaa stand kwa jamaa angu mwenye kibanda Cha Mpesa tunabishana kuhusu vita ya Israel na Hamas.

Alitoka Binti mmoja age kati ya 18-23 akiomba Msaada kuwa mwenyeji wake hapatikani kwenye sim! Na Hana sehem ya kulala huku akiwa anaendelea kutafta namna ya kumpata mwenyeji wake.

Basi huruma iliniingia nikaenda kumlipia guest nikamtaftia na chakula then nikaridi zangu geto kwendelea na harakati zangu. Nilimwachia namba yangu kuwa akipata shida yoyote anitafte.

Kesho yake nikaona namba Inani beep kuipgia nikagundua kuwa ni yule Binti akinipa taarifa kuwa Hadi mida hio hajafanikiwa kumpata mwenyeji wake na guest wanamtaka aondoke, Huruma iliniingia nikamtumia Hela ya kulipia na ya chakula! Sio kubwa guest ya 5000 na chakula 4000 kwa siku nzima.

Aisee mwenyeji wake hakufanikiwa kumpata! Hadi leo Nikamsaidia kumtaftia kazi mgahawani Ili angalau apate nauli ya kumrdisha kwao Songea!

Juzi kanipgia sim akasema ana zawadi yangu Niko wapi aniletee! Nikamwelekeza akaja Geto! Zawadi yenyewe nikuwa amekuja kunipa tam kwa niliyomfanyia!!! Kwa roho yangu ya kifisi nisingekataa nimeifumua! Aisee watu wa Songea ni Mafundi.

Nimeamua nijenge kibanda kwa mambo nayoyapata! Ashukuriwe mwenyeji ambaye hapatikani kwenye sim.

Vp wakuu Kuna ambaye ashaokota Dodo stand kama Mimi? Share Experiance yako.

Nawasilisha.
Pamoja na kuwa unatudanganya sisi, lakini kibaya ni kwamba unaidanganya dyudyu yako
Gaadem
 
🤣🤣Apana siwezi fanya hvo yaan mtu awe na changamoto kama hyo afu mi nitumie hyo fursa kumtafuna apana aisee, nakuaga na huruma na hawa mabinti wanapopitia changamoto flan flan mi nadeal na hawa hawa born town tuonajuana na kukutana kila siku
Kama hivyo sawa
 
Back
Top Bottom