Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Shida mimi sio mzurulaji, sidhani kama naweza kukutana na shida kama hizo
Ngoja uanze harakati za utafutaji Kwa wiki unashangaaa umepita mikoa mitatu 🤔sema Sasa Kwa saiv kua na mwenyeji sio Jambo baya lkn sioni haja ya mwenyeji kama ukiandaa bajeti vzr mambo yako yataenda vzr tu🤔 15k-30k unapata guest nzuri ya kulala, 4k-10k unakula chakula muzuri kbs

Kama hupajui sehemu unarequest Uber, bolt & farasi etc
 
Hayo maisha mimi siyawezi
 
Mwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.

Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi

Mwezi wa kwanza, wa pili, wa tatu akamuamini yule mlupo akawa anamwacha geto anakuta demu kapika,kafua, kadeki.

Mwezi wa nne jamaa yuko zake mishe demu akakodi kirikuu akasomba mazaga yote geto akatokomea kusiko julikana.

Jamaa kufika geto alikutana na mwangwi.
[emoji3][emoji3][emoji3]yan mwangwi maana akiongea anajiskia mwenyewe daah[emoji1]
 
Mwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.

Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi

Mwezi wa kwanza, wa pili, wa tatu akamuamini yule mlupo akawa anamwacha geto anakuta demu kapika,kafua, kadeki.

Mwezi wa nne jamaa yuko zake mishe demu akakodi kirikuu akasomba mazaga yote geto akatokomea kusiko julikana.

Jamaa kufika geto alikutana na mwangwi.
Ndio zao hapo inatokea hiyo hana ata pa kuanzia anabaki anaumia[emoji1787]
 
Mwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.

Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi

Mwezi wa kwanza, wa pili, wa tatu akamuamini yule mlupo akawa anamwacha geto anakuta demu kapika,kafua, kadeki.

Mwezi wa nne jamaa yuko zake mishe demu akakodi kirikuu akasomba mazaga yote geto akatokomea kusiko julikana.

Jamaa kufika geto alikutana na mwangwi.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Oyaa broo mkuu,, mi watu wa songea wote nawajua muulize jina lake na kijijichake isije kuwa binamu yangu mana sisi wote huku ndugu, ili nianze kukudai posa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me hii kwangu imenitokea hakuna K nsiyoijua nimezalisha nimetoa mimba nimeweka vitanzi yan K zote nazijua kuna K zina sura mbaya nyie mungu anajua kuna mwingne alikua ana STDs yan ipo stage ya mwisho K yake kama imekatika hiv yan shavu la kushoto halipo limelika na bacteria
Daah Kmmke[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Me hii kwangu imenitokea hakuna K nsiyoijua nimezalisha nimetoa mimba nimeweka vitanzi yan K zote nazijua kuna K zina sura mbaya nyie mungu anajua kuna mwingne alikua ana STDs yan ipo stage ya mwisho K yake kama imekatika hiv yan shavu la kushoto halipo limelika na bacteria
hii kada inakula sana totoz
 
Nilivyo acha kumla kimasihara mrembo mmoja hapa Dar.

Mwezi uliopita nimetoka zangu nyanda za juu kusini. Tukaingia Moro kwa kuchelewa kidogo, saa 10 ndio tupo Msamvu stend. Nisafiripo huwa napenda sana kukaa siti za mbele pale nyuma ya dereva au pembeni yake. Kufika Msamvu, ikaingia pisi moja matata sana. Nikamshobolea na kumwambia akae karibu nami siti ya dirishani nyuma ya siti ile wanayokaaga staff.

Safari ikaanza, njiani nikawa kimya wala simuongeleshi napiga story na dereva na konda. Kufika Mikese akaanza niongelesha kuhusu foleni na story zikaanza hapo. Tukazoeana na nikaona kabisa huyu namla ila nikawa nampotezea.

Kufika Magufuli, ananiambia unaelekea wapi? nikamwambia kesho nina kikao na USAID wametuita nitashukia mwisho wa gari Shekilango na nitaenda kulala pale Rombo Green View kwani nilishaweka chumba. Naye akasema anashukia huko huko. Kufika shekilango saa 4 hivi. Nikampa simu akaandika namba yake, lakini wakati tunashuka kwenye gari naona ananifuata mi kimya na akawa anazuga kuona kama nitaondoka naye pamoja kwenye bodaboda. Ikabidi nimwambie, leo nitakuwa busy kumalizia presentation usiku huu so nitakucheki kesho baada ya kumaliza day 1 ambayo ninatakiwa kupresent. Akaondoka kwa shingo upande.

Baada ya kumaliza siku 4 za kikao niliporudi kwangu nikawa namcheki tu kujuliana hali, cha kwanza ni kuniambia yeye ni mkristo nami mkristo na dini hairuhusu kuoa mke zaidi ya mmoja maana aliangalia DP yangu Whatsapp nikiweka picha ya mke wangu na watoto. Ile pisi ni nzuri kwa kweli na ningekojolea sehemu nzuri sana. Sasa hivi mara airlock, mara Ani unblock mara anisuse mara anitafute yaani kupimana tu ila binafsi sina mzuka naye kwani umri wa mambo hayo ulishapita. Ingekuwa enzi za ujana wangu ningemlala siku ile ile.
 
Kuna mstari mmoja kwenye wimbo wa jose mtambo unaitwa Shut Up anaandika

"Demu anataka mambo ila mzee umezidi urembo""
 
Back
Top Bottom