kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Huwa naitafuta hiyo thread siipati. Naomba nisaidie link, mkuu.Mkuu kuna jamaa huku chuga alijichanganya akaoa afande wa kike, siku alipotumiwa majambazi yamshughurikie ndio alijua hakika hakupaswa kuoa polisi mwenye cheo π
Akikuvunjia heshima itabidi mzungumze nini hapo?Sio poa kumpiga mkeo, hamna kisichozungumzika, utajikuta unapiga kila mwanamke usiyeendana naye.
Oya we ni Spartacus.. π€£π€£Ni miezi tisa imepita sijarudi home hadi leo na sina mpango wa kurudi, nilimwachia kila kitu likiwemo jukumu la kulipa kodi ya nyumba
Wanyiramba again on the one & 2niliamua tu kuachana na huyo mwanamke wa kinyiramba
Hivi,mashavu yapo sehemu gani ya mwili wa binadamu?Siyo sehemu hatarishi?huwezi kufa kwa kupigwa makofi mashavuni
Kuna tabia baadhi zinakaa kwenye genes, fanya ufanyalo hazitoki. Hujawah kuona mtoto anatembea au anaongea kama mzazi wake?Hivi tabia huwa mtu anazaliwa nayo au hufundishwa na kabila lake/mazingira ya kimakuzi na malezi?
Mwanamke aliogopa kipondo zaidiPole sana Mkuu,
Inauma, badala atafakari makosa yake
Kaona bora uwekwe sero, siyo poa
ukute afande alivyokuweka nguvuni akaenda kulala kwako halafu asubuh ukampongeza na lififteMkuu ni kweli nilikuwa na kosa ambapo kisheria nilipaswa kufikishwa mahakamani.
Afande alinifuata korokoroni alfajiri akanipa njia ya kujinasua kwenda mahakamani nayo ni kumpa 50k, nilimuelewa na ndivyo tulivyomalizana kishikaji kwa kumpa afande hiyo hela, sijui afande alivyomwambia mke wangu, Ila my wife aliniambia tu kuwa kafuta kesi hivyo twende nyumbani.
Hasira ilibaki kwangu niliyelala kituoni usiku mzima, sikuongozana naye kurudi nyumbani.
Kama uliweza kumtongoza kwa lugha nzuri yenye ushawishi hadi akaja kuishi na wewe,unashindwaje kumpa na kumzoesha lugha za mvuto na ushawishi ili aendelee kukusikiliza bila majibizano na vurugu?Kipigo ni ushahidi kwamba huna uwezo wa kujieleza ukaeleweka.Rejea kwa mleta uzi alivyotupwa selo kwa kushindwa kujieleza kwa askari kwa umakini,kutulia na kushawishi askari.Akikuvunjia heshima itabidi mzungumze nini hapo?
Mchape viwili vitatu ili ajue nani ni mwamba kwenye familia. Akileta ukaidi mtimue arudi kwa mamaye.
ukipgwa kofi la sikioni lazima ukate network ila ukiwa na precision ya kulenga shavu uwez kuuaHivi,mashavu yapo sehemu gani ya mwili wa binadamu?Siyo sehemu hatarishi?
NB;Umewahi kuchabangwa kofi hadi ukaona "dubleduble",mate laini kuruka kutoka mdomoni na kuvimba mashavu?Unajua kama ukimpiga mtu makofi kwa nguvu unaweza kumtegua hadi mishipa ya shingo ambayo ni hali ya hatari sana na anaweza akafa?
Vipi baada ya kuachana naye ulioa mwingine?Nawe mkuu
Kumbe ni kawaida!Kawaida mbona,wanaume kuwekwa rumande na wake zao
Basi,kwa nini utegemee kulenga shavu tu wakati unajua unayemtwanga kofi siyo kisiki kwamba hatakwepa na ukampiga sehemu nyingine kwa bahati mbaya?Na kwa nini uivute suluhu ya haraka kwa kipigo tu?Hakuna njia nyingine itakayokupeleka kwenye suluhu sahihi?ukipgwa kofi la sikioni lazima ukate network ila ukiwa na precision ya kulenga shavu uwez kuua
Sio poa kumpiga mkeo, hamna kisichozungumzika, utajikuta unapiga kila mwanamke usiyeendana naye.
Mimi kuna mmoja aliwahi nipeleke, nikaitwa dawati la jinsia, nikaenda.Kwenye heading nilielewa kwamba wewe na mkeo mlilala kituo cha polisi ila kumbe mkeo ndiye alikulaza kituoni.
Pole sana!
Ila huyo Mnyiramba achana naye jumla.
Kawaida mwanamke akishakupeleka polisi hapo hakuna mapenzi.
Kwanza anaweza akakuua!
Kofi la shavu, kajaribu kulikwepa, kapepesuka, kajigonga ukutani, mara macho yameageuka nje ndani. Hapo majirani walisikia ukipayuka NTAKUUA WEWE, NTAKUUA, umekimbiza hospitali, mwenyekiti wa mtaa kashauri nenda polisi kajisalimishe, upo umeshikiliwa na polisi baada ya muda unapata taarifa kazinduka yupo kwenye oxygen. Ukiachiwa hapo mambo ya kupiga unastaafu, mtu akikukera unajiondokea.huwezi kufa kwa kupigwa makofi mashavuni
Kuna mambo yakikukuta kwenye maisha na ukatoka salama yanakukumbusha kuwa mstaarabu sana, unaweza itwa dhaifu ila wewe unajua unakwepa nini. Mojawapo ni hili la kupiga watu.Ndo maana wanawake wa Kenya π°πͺ wanawadharau Sana nyinyi jamaa wa Kenya.
Mwanamke akizingua Sana kichapo hakikwepeki.
as anger management consultant hua nashauri sana wateja wangu kuwalamba vibao wanao wakwaza ukimdunda mkwazaji una release dopamine unakua stress free hii inakuepusha na kumuua huyo bwege huko mbeleni au wewe mwenyewe kujiua au kua mlevi kupindukia kupambana na stress mtu akikwaza usisite kumlamba mambata usiangalie umri jinsia wala cheo as longer as amekuuzi na yuko within proximity mkutanisshe na shambulio la kudhuru mwiliBasi,kwa nini utegemee kulenga shavu tu wakati unajua unayemtwanga kofi siyo kisiki kwamba hatakwepa na ukampiga sehemu nyingine kwa bahati mbaya.Na kwa nini uivute suluhu ya haraka kwa kipigo tu?Hakuna njia nyingine itakayokupeleka kwenye suluhu sahihi?
Na utegemee mengi na hutakiwi kujiliza wala kutia huruma na kusema ni bahati mbaya;-Ndo maana wanawake wa Kenya π°πͺ wanawadharau Sana nyinyi jamaa wa Kenya.
Mwanamke akizingua Sana kichapo hakikwepeki.
Mlikuwa na watoto? Je umefanya utaratibu wa talaka? kama bado huyo bado ni mkeo na wewe umetelekeza familia, anaweza nazisha mengine na ukalazwa tena ndani kwa muda mrefu.Ni miezi tisa imepita sijarudi home hadi leo na sina mpango wa kurudi, nilimwachia kila kitu likiwemo jukumu la kulipa kodi ya nyumba
Mshauri wa aina yako ni wa kufungwa kamba ngumu ya katani mikononi na miguuni,kupandishwa kwenye carriers au boots za mabasi ya kuelekea Dodoma.Na ukifikishwa huko ni moja kwa moja upelekwe kwenye ile hotel ya nyota tano inayoitwa "Milembe Resorts and Hotels" uishi kwa raha hata miaka mitano.as anger management consultant hua nashauri sana wateja wangu kuwalamba vibao wanao wakwaza ukimdunda mkwazaji una release dopamine unakua stress free hii inakuepusha na kumuua huyo bwege huko mbeleni au wewe mwenyewe kujiua au kua mlevi kupindukia kupambana na stress mtu akikwaza usisite kumlamba mambata usiangslie umri jinsia wala cheo as longer as amekuuzi na yuko within proximity mkutanisshe na shambulii la kudhuru mwili