Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

Hata hao polisi waliokuweka ndani nao ni wajinga. Ingekuwa Ulaya ningeelewa, ila Bongo kitendo cha namna hii kinaweza kusababisha ndoa kuvunjika haraka sana.
 
Natumaini akipita hapa ataelewa.
Wanawake usipowatikisa watakupasua kichwa.
 
Ni miezi tisa imepita sijarudi home hadi leo na sina mpango wa kurudi, nilimwachia kila kitu likiwemo jukumu la kulipa kodi ya nyumba
Mlikuwa hamna watoto? Lakini kumbuka kama mlikuwa mmefunga ndoa basi kisheria bado anahesabika ni mke wako na wewe bado unahesabika ni mume wake. Jamaa mmoja alinichekesha aliniambia alipokuwa anakwenda Ulaya alipewa ushauri huu: ''ukifika huko fanya chochote lakini usithubutu kupiga paka, mbwa au mwanamke''.
 
Huwa wanaingia kama malaika, baada ya muda wanajisahau. Ndiposa unatakiwa umrudishe mstarini. Akigoma unamrudisha ulikomtoa.
 
Huwa wanaingia kama malaika, baada ya muda wanajisahau. Ndiposa unatakiwa umrudishe mstarini. Akigoma unamrudisha ulikomtoa.
Kumridisha mtu mzima mwenye magego yaliyokomaa kwa kipigo ni hatari kwa wote wawili. Tujizoeshe kutuliza mambo kwa mazungumzo.Changamoto ni waoaji kuwa na mategemeo chanya tu bila kupishana hata kidogo. Haiwezekani hiyo kwa sababu hawajaoana malaika hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…