Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sometimes bila kipigo dharau na masimango huwa nyingi....Ila mianaume ya kiafrika!! Kwanini uone kumpiga mkeo ni kawaida ila wewe kukusweka ndani ni tatizo😳😳😳😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes bila kipigo dharau na masimango huwa nyingi....Ila mianaume ya kiafrika!! Kwanini uone kumpiga mkeo ni kawaida ila wewe kukusweka ndani ni tatizo😳😳😳😳
makamanda wa siku za mwisho 😁😁lazima atakuwa afande alijiongeza tu😂 😂 😂
Haaa😂🤣🤣 kazi ni kazi muraaDawa ni kuoa polisi mwenye cheo.
Namnyemelea Suzan Kaganda, akijaaa naoa kabisa
Sio wote mbona kuna ambao wake wa ndugu zetu wana akili nyingi kabisaWaje tu tupeane ukweli, wanawake wa kinyiramba ni hovyo mno 😁
Hata hao polisi waliokuweka ndani nao ni wajinga. Ingekuwa Ulaya ningeelewa, ila Bongo kitendo cha namna hii kinaweza kusababisha ndoa kuvunjika haraka sana.Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya wakachanga milioni 3. Zile mbili zilizopungua mke wangu alikuja kuniomba nitoe hizo hela ili kukamilisha malipo ya dhamana.
Sikuwa na hiyo hela, nilimwambia wazi kuwa sina hela. Kilichotokea sasa baada ya kumwambia hivyo alinifokea kwa ukali akinituhumu kuwa nina roho mbaya na sipendi kusaidia ndugu zake Ila naweza kuhonga malaya tu huko mitaani.
Sikufurahishwa na hayo aliyoniambia so nilimfata na kumcharaza kwa vibao vitatu vya shavu ili kumshikisha adabu. Alipiga yowe la uchungu na kutoka baru akatokomea sijui wapi huko.
Baada ya kama lisaa limoja hivi nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni polisi akinitaka nifike kituoni, nilishangaa Ila niliitikia wito.
Nilipofika kituoni mshangao wangu ukawa mkubwa zaidi baada ya kumkuta mke wangu yupo hapo na alifika hapo kuripoti kuwa nimemshambulia kwa kukusudia. Nilishindwa kujitetea maana ni kweli nilimpa Kichapo.
Afande aliyeshughurikia hayo malalamiko ya mke wangu alisema hawezi kulimaliza hilo suala muda huo maana ilikuwa ni saa mbili usiku, atalishughurikia kesho yake asubuhi. Afande alimtaka mke wangu arudi nyumbani Ila mimi sikuruhusiwa kurudi nyumbani bali nilitakiwa kulala hapo kituoni.
Muda mfupi baada ya mke wangu kuondoka niliamriwa na afande wa zamu kuvua viatu na mkanda wa suruali kisha nikasukumwa kwenye kachumba kasiko na dirisha wala taa nikawa nimelala polisi kwa mara ya kwanza.
Nililala kwa usiku mmoja tu, asubuhi tuliyamaliza mambo ya kipolisi kishikaji nikaachiwa huru asubuhi hiyo.
Nikiwa na hasira kali sikurudi home niliamua tu kuachana na huyo mwanamke wa kinyiramba.
Tuliowahi kulazwa polisi na wake zetu tujuane hapa.
Natumaini akipita hapa ataelewa.Ni kweli,ukishamcharaza kama hivyo unampa siku kama tatu hivi,unamtoa outing jioni,mkirudi ule usiku penzi lake huwa linakuwa tamu balaa,maana mnakuwa mmefuta kila kitu penzi linaanza tena moja.Ogopa sana hawa wanaojidai hapigi hata kofi moja,anaweza kukununia hata mwezi na siku vikimfika vya kumfika ndio wa kwanza kuchukua kisu na kuua.....
Mlikuwa hamna watoto? Lakini kumbuka kama mlikuwa mmefunga ndoa basi kisheria bado anahesabika ni mke wako na wewe bado unahesabika ni mume wake. Jamaa mmoja alinichekesha aliniambia alipokuwa anakwenda Ulaya alipewa ushauri huu: ''ukifika huko fanya chochote lakini usithubutu kupiga paka, mbwa au mwanamke''.Ni miezi tisa imepita sijarudi home hadi leo na sina mpango wa kurudi, nilimwachia kila kitu likiwemo jukumu la kulipa kodi ya nyumba
Huwa wanaingia kama malaika, baada ya muda wanajisahau. Ndiposa unatakiwa umrudishe mstarini. Akigoma unamrudisha ulikomtoa.Mimi sitetei wanawake wajinga,wajeuri na waso adabu majumbani mwao.Ninajaribu kutoa ushauri kwa wanaopenda kuitafuta amani kwa kupiga wenza wao.Si njia nzuri kabisa ya kutatua mambo.Kipigo kina hasara nyingi sana kuliko suluhu ya maneno.
NB;Kwa nini kwa hiyari yako ulimuoa na kuamua kuishi na mke mwenye tabia za ngedere-mwitu?
Hapo hata umbutue vipi, hawezi kukupeleka polisi anaona aibuHaaa[emoji23][emoji1787][emoji1787] kazi ni kazi muraa
Msimbe yuleKwani hajaolewa?
Kumridisha mtu mzima mwenye magego yaliyokomaa kwa kipigo ni hatari kwa wote wawili. Tujizoeshe kutuliza mambo kwa mazungumzo.Changamoto ni waoaji kuwa na mategemeo chanya tu bila kupishana hata kidogo. Haiwezekani hiyo kwa sababu hawajaoana malaika hapo.Huwa wanaingia kama malaika, baada ya muda wanajisahau. Ndiposa unatakiwa umrudishe mstarini. Akigoma unamrudisha ulikomtoa.
Nilimwachia kila kitu akiwemo na mtoto mmojaMlikuwa hamna watoto?
Una uhakika hao wanyiramba wake wa nduguzo wapo vizuri sana?Sio wote mbona kuna ambao wake wa ndugu zetu wana akili nyingi kabisa
Ni mke wa bro angu sijawahi ona shida yake mimi wapo 15 miaka ya ndoa sasa..Una uhakika hao wanyiramba wake wa nduguzo wapo vizuri sana?
Hicho kidume kichukue tu huo mzigo 😂hapa itakuwa kuna kidume muda huu kinafurahia sana
Asante mkuuPole sana!
Yule mdada huwa tunapishana naye tu huku mitaa ya Leganga, usa river, huenda hata kesi ilishafutwaAlafu Ile case sijui inaendeleaje, nahisi yule mwanamke aliachishwa kazi
Ni nyumba ya kupanga, nilimwachia mtoto na kila kitu hadi isipokuwa kadi za benki.Haukuwa na watoto nae? Unasema haukurudi so ulisamehe kila ulichokichuma ndani ya hiyo nyumba na kumwachia huyo mwanamke?