Mchokoze leeNisipokuchokoza ww nimchokoze nani [emoji2]
ni kweli kabisa chuki hazifai sio humu tu hata huko mitaani kwa maana ni chanzo cha magonjwa mengi sana.Ukimchukia unajipa jakamoyo lisilo na maana yoyote! Huwezi kumpangia mtu anachokiwaza hivyo tupendane kwa ajili ya Allah
Oyeeee.... Hapa kasiii tu, tena ya mwendo wa fisi, ni muda wa kuishi kama ibilisi.Makonda oyeeee [emoji2]
[emoji2] [emoji2]Oyeeee.... Hapa kasiii tu, tena ya mwendo wa fisi, ni muda wa kuishi kama ibilisi.
hahahhh nimecheka sanaMchokoze lee
Mimi nitakuwa mnafiki kusema hakuna watu nawachukia humu:
Kuna watu humu ni wagomvi au wanapenda kutukana tukana hovyo, ili nisimjibu au kuendelea kukereka na issue za mtu huyo huwa naenda kwenye kitufe cha ignore nakibonyeza mchezo umekwisha.
Mfano, zamani GENTAMYCINE alikuwa ni mkorofi sana na anatukana ovyo, nikamwignore, siku hizi jamaa kabadilika sana na hata akitukanwa anajibu vizuri tu, so hayuko tena kwenye ignore list yangu.
Hii ni list yangu ya watu ambao wako kwenye ignore list kwa sababu zangu mwenyewe:
View attachment 512005
Siwezi nikakuchukia hata siku moja kaka ake. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Dada emmyta kumbe unanichukia?
Humu ndani kuna mijitu inajifanya much know sana kabla hata hujamaliza kuandika uzi walishaaanz kuponda, mingine mi bazazi....Mambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nawachukia watu saana humu. Mfano kuna mtu kacomment hapo juu nataka kutapika hapa.
Aptyuuu
Yeah! Mtu akikukwaza chukia ila sio milele wadauMambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Uko vizuri mkuuMara nyingi chuki huambatana na WIVU.Sasa unapomchukia mtu ambae hata hujamuona ni dalili ya kupungukiwa na baadhi ya vitu vinavyokamilisha kichwa cha mwanadamu