Ilikuwa ukimaliza tu kula usiku Kama hajapitia kilabuni siku hiyo uatasikia " hayaa kakojoeni mkalale".............. Hili limenilemaza Hadi Leo hata nikiwa napata moja Moto moja baridi au nimetoka na washkaji kidogo Mara nyingi nikijitahidi Sana mwisho saa tatu usiku......Daaaaah sure ni ngumu sana .....
Anyway ..malez yanachangia coz wezee weng wanakuwa wakatili sana
Mfano mtoto akisikia sauti ya mzee ....anakimbilia kulala
Mie too zawadi zangu zilikua nguo mayb sox,shirt,trauza .mwaka jana niliona saa ya kishua nikajipinda nikainunua nikamtumia ..jamani anamwambia mkewe hii saa ni nzuri sana sana tena ni aghali🤣! Yaan mama ananiambia fanya yote ila saa yake isiguswe! Najiskiaga raha balaa...Ilikuwa ukimaliza tu kula usiku Kama hajapitia kilabuni siku hiyo uatasikia " hayaa kakojoeni mkalale".............. Hili limenilemaza Hadi Leo hata nikiwa napata moja Moto moja baridi au nimetoka na washkaji kidogo Mara nyingi nikijitahidi Sana mwisho saa tatu usiku......
Ila all in all , he was right in his own perspective na kumpa zawadi ni suala la msingi... Tatizo zawadi gani maana za wamama rahisi Sana.
Hahaha... Na roho ya unabii safi sanaMie too zawadi zangu zilikua nguo mayb sox,shirt,trauza .mwaka jana niliona saa ya kishua nikajipinda nikainunua nikamtumia ..jamani anamwambia mkewe hii saa ni nzuri sana sana tena ni aghali🤣! Yaan mama ananiambia fanya yote ila saa yake isiguswe! Najiskiaga raha balaa...
My mom mie namnunulia mikoba zaidi aweke lesson zake!
Hahhaa mwinjilisti yule ..acha kbs..na daniel na siku zetu😊Hahaha... Na roho ya unabii safi sana
Mwaka huu walitimiza miaka46 ya ndoa basi nikawanunulia heater ya bafuni..maana hatak kuoga maji ya baridi...wameifurahia sana sana!Mwanzo nilikua natuma hela, ila nilibadilisha kulingana na status aliyokuwa nayo. Yaani iko hivi mshua alikua senior officer NGO flani hivi, baada tu ya kustaafu akaanza kuishi maisha ambayo hakuwahi yaishi yaani ile hadhi ya chini kabisa mara mashati/viatu vilivyochanika, hapo unakuta maza hana time nae.
Sasa kazi yangu ni kufix hilo eneo, yaani tamtafutia Tishet classic na open shoes za ngozi ile pure kabisa mwenyewe akinga anaweka na mkanda nje kwenye suruali. Na huwa anazipenda sana hizo zawadi. Kiukweli mie mshua huwa namkubali sana japo nae pia alikua anapungufu yake. Ila yeye ndio sababu ya mie kuwa hapa nilipo.
Aisee safi sana na Hongera kwao...i wish wangu nao wangekua kama wako. Sie wetu kila mtu ana time yake hata ukisema muwaweke pamoja muwafanyie kitu ni kasheshe. So inabidi kila mtu tumhudumie kivyake japo wapo kwenye nyumba moja. Yaani imagine watu wamekuja tibuana dakika za mwisho wanaenda kwenye uzee. Mwanzoni ilitupa stress ila saivi tumewazoeaMwaka huu walitimiza miaka46 ya ndoa basi nikawanunulia heater ya bafuni..maana hatak kuoga maji ya baridi...wameifurahia sana sana!
Usimlaumu maza..ukute mshua hatak pigo za kurekebishwa na mom😀!
😀😀 yaani kwwnye ndoa inahitajika mmoja ajishushe ..sijawah muona babangu akijishusha...mtata magu akasome...inawzekana mama yako amechoka kujishusha..ninamtetea kwakweli...Aisee safi sana na Hongera kwao...i wish wangu nao wangekua kama wako. Sie wetu kila mtu ana time yake hata ukisema muwaweke pamoja muwafanyie kitu ni kasheshe. So inabidi kila mtu tumhudumie kivyake japo wapo kwenye nyumba moja. Yaani imagine watu wamekuja tibuana dakika za mwisho wanaenda kwenye uzee. Mwanzoni ilitupa stress ila saivi tumewazoea
Hahaha...kwahiyo nyie maza alishuka? Sie maza nae ni kichomi yaani kichomi kweli si mchezo. Na mshua ndio type za mzee wako fikiria hiyo combination inakuaje? Kuachana ndio hawataki, kuna mda hata sie watoto tuliona afadhali waachane lakini wapi hawataki.😀😀 yaani kwwnye ndoa inahitajika mmoja ajishushe ..sijawah muona babangu akijishusha...mtata magu akasome...inawzekana mama yako amechoka kujishusha..ninamtetea kwakweli...
🤣🤣🤣! Bas hao wanapendana! Mie maza namuonaga anashuka hata asipotakiwa kushuka!sema dingi anamtreat as queen..anampa vibe sana anamcare mno mno...labda na mm ningevumilia...ila zaidi ya hapo hata mie ujinga huo siuwezi kujishusha kila sk!Hahaha...kwahiyo nyie maza alishuka? Sie maza nae ni kichomi yaani kichomi kweli si mchezo. Na mshua ndio type za mzee wako fikiria hiyo combination inakuaje? Kuachana ndio hawataki, kuna mda hata sie watoto tuliona afadhali waachane lakini wapi hawataki. Ndugu za pande zote mbili walishachemka kitambo sana kutoa suluhu.