Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?

Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?

Kabinti kangu kalininunulia saa kwa hela nayompa kama pocket money. Nilikuwa nashangaa wanaume wanatoaje chozi, hiyo hiyo siku ndo nilijua...

Kabinti kananipenda babaake mpaka mama yake anaona wivu....
 
Baba nishawah mnunulia mashati na suruali,na viatu sandals,pia siku nyingine namtumia anunue mwenyewe ,Ila mara nyingi yeye hupenda sigara [emoji2303][emoji2303] utasikia oyaaa Tuma basi pesa kidogo ya sigara mtoto wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mama nilimnunulia Friji ,Sofa,Tv,Kabati ,kiwanja sijui nitainua lini boma na kumaliza [emoji2303][emoji2303]
Mikoba,Magauni na vitenge huwa nampa kila mara nikipata pesa namnunulia
Siku nikiwa na mihela mingii sijui nitamfanyia nini mama yangu jamani
Kwani baba na mama yako hawaishi pamoja?
 
Baba nishawah mnunulia mashati na suruali,na viatu sandals,pia siku nyingine namtumia anunue mwenyewe ,Ila mara nyingi yeye hupenda sigara [emoji2303][emoji2303] utasikia oyaaa Tuma basi pesa kidogo ya sigara mtoto wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mama nilimnunulia Friji ,Sofa,Tv,Kabati ,kiwanja sijui nitainua lini boma na kumaliza [emoji2303][emoji2303] (bima ya afya anayo alikatiwa na kaka ambae first born)
Mikoba,Magauni na vitenge huwa nampa kila mara nikipata pesa namnunulia
Siku nikiwa na mihela mingii sijui nitamfanyia nini mama yangu jamani huwa namuwaza sana mama angu kuliko baba japo mie nimelelewa upande wa baba
Ila baba ako yupo humble, anakuomba binti yake pesa ya fegi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Raha sana kuwa na mazoea na wazazi, yaan nikikaa na mommmy utadhan mtu na rafiki yake, story zitapigwa hapo plus udaku yaan tafrani tupu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mshua yupo peace na brohz mkubwa (second born) yaan hadi kwenye tungi wanaenda wote, [emoji23][emoji23][emoji23] ila wazazi bhan lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha
 
Sikulelewa na baba,alifariki nikiwa mdogo,nikalelewa na mama na kaka yangu ambaye ni marehemu sasa,kaka yangu alinilea kama mwanae nilimpenda sana,angekuwa hai leo ningemfanyia mambo makubwa mwenyewe angeshangaa,kuna kipindi nikiona vitu vizuri vya kiume namkumbuka natamani angekuwepo nimfanyie sapraise.endelea kupumzika kwa amani kaka[emoji22][emoji22][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Daah pole sana
 
Si ana watoto wake unaweza wasaidia ukahisi furaha ileile ambayo ungepata kwa wazazi wao.
 
Nasoma tu comments hapa aisee.
Wengine sie hata hao akina baba hatuwajui kabisaa.

Mi mshua hata sijuagi anafananaje, sijawahi kumuona wala picha yake sijawahi kuiona. Simjui ndugu wa huko hata mmoja ni mimi na familia ya mama tuuu(kina bibi, wajomba, mababu, mashangazi , binamu) wote upande wa umamani.

Siku nikimpata mshua ntamlima faini kubwa sana kwanini hakunitafuta mwanae.
 
Si ana watoto wake unaweza wasaidia ukahisi furaha ileile ambayo ungepata kwa wazazi wao.
Ndivyo ilivyo kwa sasa namlipa upendo wake kwa watoto wake aliowaacha,niliachwa akanilea,nae kaacha wanae nawalea!!kikubwa kila mara nikiona kaburi lake linanikumbusha kuwajali yatima na wasiojiweza with free heart.!! katika uhai wake kwa kidogo alichobarikiwa aliwajali sana watu wasiojiweza.
 
Mwanzo nilikua natuma hela, ila nilibadilisha kulingana na status aliyokuwa nayo. Yaani iko hivi mshua alikua senior officer NGO flani hivi, baada tu ya kustaafu akaanza kuishi maisha ambayo hakuwahi yaishi yaani ile hadhi ya chini kabisa mara mashati/viatu vilivyochanika, hapo unakuta maza hana time nae.

Sasa kazi yangu ni kufix hilo eneo, yaani tamtafutia Tishet classic na open shoes za ngozi ile pure kabisa mwenyewe akitinga anaweka na mkanda nje kwenye suruali. Na huwa anazipenda sana hizo zawadi. Kiukweli mie mshua huwa namkubali sana japo nae pia alikua anapungufu yake. Ila yeye ndio sababu ya mie kuwa hapa nilipo.
Ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom