Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?

Kabinti kangu kalininunulia saa kwa hela nayompa kama pocket money. Nilikuwa nashangaa wanaume wanatoaje chozi, hiyo hiyo siku ndo nilijua...

Kabinti kananipenda babaake mpaka mama yake anaona wivu....
 
Kwani baba na mama yako hawaishi pamoja?
 
Ila baba ako yupo humble, anakuomba binti yake pesa ya fegi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Raha sana kuwa na mazoea na wazazi, yaan nikikaa na mommmy utadhan mtu na rafiki yake, story zitapigwa hapo plus udaku yaan tafrani tupu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mshua yupo peace na brohz mkubwa (second born) yaan hadi kwenye tungi wanaenda wote, [emoji23][emoji23][emoji23] ila wazazi bhan lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha
 
Daah pole sana
 
Si ana watoto wake unaweza wasaidia ukahisi furaha ileile ambayo ungepata kwa wazazi wao.
 
Nasoma tu comments hapa aisee.
Wengine sie hata hao akina baba hatuwajui kabisaa.

Mi mshua hata sijuagi anafananaje, sijawahi kumuona wala picha yake sijawahi kuiona. Simjui ndugu wa huko hata mmoja ni mimi na familia ya mama tuuu(kina bibi, wajomba, mababu, mashangazi , binamu) wote upande wa umamani.

Siku nikimpata mshua ntamlima faini kubwa sana kwanini hakunitafuta mwanae.
 
Si ana watoto wake unaweza wasaidia ukahisi furaha ileile ambayo ungepata kwa wazazi wao.
Ndivyo ilivyo kwa sasa namlipa upendo wake kwa watoto wake aliowaacha,niliachwa akanilea,nae kaacha wanae nawalea!!kikubwa kila mara nikiona kaburi lake linanikumbusha kuwajali yatima na wasiojiweza with free heart.!! katika uhai wake kwa kidogo alichobarikiwa aliwajali sana watu wasiojiweza.
 
Ubarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…