Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Mbona humu hamna noma kabisa unaopoa tu. Kikubwa uwe mstaarabu na mwenye kujiheshimu. Sio unapewa ndo unaanza matangazo.. kuanzisha uzi kuhadithia. Jifunze kula na kufuta mdomo. Nyamaza. Muheshimu anaekupa. Uwe na koromeo la kutunza siri..no matter what hutosema wala kuhadithia mtu. Hizo ndo codes mwanaume unatakiwa uishi nazo, humu JF na mtaani kwa ujumla. Be a MAN.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
sema mkuu mimi made man utanitapeli nini na utateka nini
hongera
 
Sister, hujasoma Uzi na wewe umtag anaekuvutia ? umeenda direct kwenye kutafasiri maana ya jina langu. Haya bhana.
Nahisi alikuwa na maana nyingine kabisa na wewe ulivomchukulia.

Uenda birthday yake ni April 26 so amekuuliza kujuwa kama na wewe ni birthdaynate wake.


Ukute ungejibu ndio , tarehee 26 ,tena keshokutwa tu hapa cake mgeikata pamoja[emoji39][emoji28].


Nawaza tu
 
Nishawahi mpenda mtu simjui ata sura, tukadate na kuaachana bila hata kuonana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mapenzi upofu kwahiyo hamna umuhimu wa sura [emoji23]
Mkija kuonana ndo utaona umuhimu wake... Wengine wanapanga kuonana lakini mtu anajibanza sehemu aone kama yaliyomo yamo ndo atie timu
 
Umemissika pia mama mchungaji. Tangu KLM atelekeze wafuasi wake, kukutana humu imekua ngumu sana. Naona kuna ndugu yetu hapo juu amekufa alafu akaoza hahaaa!
Haki ya nani Niko hoi bin taaban kwa Mama Mchungaji, na akianza kushuka mistari ya biblia najisemea nimechelewa wapi mie griffin2. Ningekuwa najilia gombo la chuo nyumbani tu.
 
Kumpenda usiyemjua ni aina fulani ya uchizi wanangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…