Kwahiyo ulikuwa unanizoom tuππHahahahaha lol! Mie nilishajua siku nyingi nikasema huyuuuuu!! π€£π€£π€£π€£π€£
Una chura?Npenda Sanaa bloang Behaviourist I wish kumwona one day[emoji23][emoji23]
Kwahiyo ulikuwa unanizoom tuππ
Ulijuaje sasa na sijawahi kukwambia
Una chura?
Usithubutu kuamini kile kitu ambacho sijakitamka rasmiππusiuzingatie sanaa...maana humu kuna watu nacommentiana nao kama tunajuanaππhatari sana.Hahahahahahaha lol! Kwa maongezi kwenye nyuzi mbali mbali.
Usithubutu kuamini kile kitu ambacho sijakitamka rasmiππusiuzingatie sanaa...maana humu kuna watu nacommentiana nao kama tunajuanaππhatari sana.
Mi mwenyewe kuna kipindi mwandiko unanisnitch.
Kwa sababu wewe unahitikadi kali sana za chama nikaamua nikutenge peke yako usijeniharibia vijana wanguππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ hapo kwenye namba 387 hakuandika BAK.
Sema wanaume wengi wa Arusha mnakuwaga wazuri wa sura aiseeMwanaume na uzuri wa sura wapi na wapi mzee mama?
Wewe sema tu labda hakuwa na jax.
Kwa sababu wewe unahitikadi kali sana za chama nikaamua nikutenge peke yako usijeniharibia vijana wanguπππ
Mwee hivi huyu mtu ndiyo umegoma Kabisa kututajiaWewe niliyekuwa nakupenda tangu enzi hizo...jua bado kunavijichembe chembe kwa mbali.we endelea kuuvuruga mtima wangu[emoji2][emoji2]
Huu utakuwa ni ugonjwa Mpya kama ilivyo coronaHii kitu ya kumpenda mtu ambaye hata hujui anafananaje nilipoisikia kwa mara ya kwanza kwamba watu wamefall in love mtandaoni hawajawahi kuonana hawajawahi kutumiana picha nilisema hawa Wazungu sasa wamezidi. Utampendaje mtu ambaye hujawahi hata kumuona? Mtazamo wangu ulibadilika nilipoingia humu na kuona ni kitu ambacho kinawezekana kabisa kwa mtu kuvutiwa na mtu kutokana na michango yake, anavyopanga hoja zake au kupangua hoja za wengine.
Huu utakuwa ni ugonjwa Mpya kama ilivyo corona
Jamanii ni chako changu nimefungua code hahahaMwee hivi huyu mtu ndiyo umegoma Kabisa kututajia
Sawa kabisa BAK.haya sasa turudi huku maana sijawahi kuipenda siasa hata kidogo aiseh..Hahahahaha lol! Itikadi yangu ni Tanzania yetu kusimama imara na kuwa na umoja na mshikamano. Hii Tanzania ya sasa iliyojaa dhuluma na udhalimu wa kutisha siipendi hata kidogo. Kusema kweli naiona kama foreign country ambayo sipendi mwelekeo wake na si mimi tu bali watu wangu wengi wa karibu ndugu, jamaa na marafiki wana mtazamo kama wangu.
Wewe kalale tu BAK.asante na kwako pia.mi ndo kwanza nimetoka kuamkaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kalale sasa usiku mwema na njozi njema.
Huyu hata iweje sitokuja kumtaja humu ndani aisehMwee hivi huyu mtu ndiyo umegoma Kabisa kututajia
Alaa kumbe? Sasa nimeelewa!Hapa najaribu kutafakari kwamba unawezaje wezaje kumpenda mtu hata sura huijui.