Umeona eh! Tunachukuliana poa sana humu ndani sijui wanataka hadi tuwaoneshe hizi sura zetu zenye makunyanzi ndiyo waamini![emoji2957][emoji2957][emoji2957]watu wanaangalia comments na kuona pengine labda ni vianafunzi vya chuo [emoji12]kumbeee...ni mtu umejichagulia maisha ya kutotabirika..
[emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3]Hiyo bila kikomo hapana aiseh
We cheka tu.[emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3]
πππSana aisehUmeona eh! Tunachukuliana poa sana humu ndani sijui wanataka hadi tuwaoneshe hizi sura zetu zenye makunyanzi ndiyo waamini!
Ikawe kheri, safari yenu ya kufufuana! HahaaKwa kweli KLM katutelekeza vibaya jamani. Hahaha nimekuja kumfufua crush wangu, atakuwa hai tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We cheka tu.
Hafu nimeiona sehemu avatar yake ikiyumba yumba moyo ukafanya pah.na hajatajwa sehemu yoyote kwenye huu uzi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hatari sana
I promise ntamleta kwako afanyiwe vetting π mkuuπInabidi niwe mpole tu sina namna. Inabidi nimfanyie "vetting" atakaebahatika kupata hifadhi moyoni mwako maana akikuumiza ni sawa na kuniumiza mimi [emoji1][emoji1]
Blessings received
Ikawe kheri, safari yenu ya kufufuana! Hahaa
Kinachofanya watu wanajificha ni pale ambapo wewe kichwani una picha ya beyonce, unashangaa linatokea guluguja la maana... unaachaje kula kona? Mbaya zaidi ukute huko pm mmeshafika mbali hapo mmekutana kumalizia tuu..πHivi huo muda wa kuanza kujibanza huwa mnautolea wapi mwisho mje mngβatwe na tandu buree..
Siku nyingine mmekubalia kuonana sehemu nenda kawaida acheni hizi Habari za kuwindana mtakuja vunjika miguu buree..
Niliongeaga na mtu kwa simu ile sauti khaaaa nikahisi yani mtu mtu kweli, mwili mwili, fua fua baba....nlichokuja kukiona daaah ile sura hapana asee
Huhuuuuuuu...hujanichimba badoπππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Amecomment humu au hajapita kabisa
Ndo muachege sasa kuwa na mategemeo makubwa kwa watu...unaona mabalaa hayo sasa!!mtakuja kuvunja ngongoti mkufe bureeKinachofanya watu wanajificha ni pale ambapo wewe kichwani una picha ya beyonce, unashangaa linatokea guluguja la maana... unaachaje kula kona? Mbaya zaidi ukute huko pm mmeshafika mbali hapo mmekutana kumalizia tuu..π
Weeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Let meet buana you never know unaweza ukaanza kukimbilia badala ya kukimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habari za wakati huu wakuu.
Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.
Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.
Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.
Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.
Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa. Na naomba usione soo mama njoo PM niambie nitakupokea kwa mikono miwili. Huwezi juwa huwenda mimi ndo fungu lako!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Mi ndio maana kila siku nasema... hapa jf ukiona watu wanaitana baby baby, mara sweetie sijui nini na nin... ujue hao hawajawahi kuonana!! ππNdo muachege sasa kuwa na mategemeo makubwa kwa watu...unaona mabalaa hayo sasa!!mtakuja kuvunja ngongoti mkufe buree
Haaaaa Haaaaa π jamani nimechekaNiliongeaga na mtu kwa simu ile sauti khaaaa nikahisi yani mtu mtu kweli, mwili mwili, fua fua baba....nlichokuja kukiona daaah ile sura hapana asee
Haaaaa Haaaaa π kwanini?Mi ndio maana kila siku nasema... hapa jf ukiona watu wanaitana baby baby, mara sweetie sijui nini na nin... ujue hao hawajawahi kuonana!! ππ
Finally