Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Wacha weeeh
 
Mkuu hii inatokea sana, kisaikolojia na katika IMANI ya dini kuna kuongea na kuonana kwa roho za watu wasifahamiana. Na sio ajabu unaemuwazia nae anakuwazia japo hamjawahi onana.
 
Good Lord..!!
Fohadi thank you so much, Amen, Amen..!! kwanini sasa huniambii jamani..??
Carleen ingekuwa ngumu kuja direct tena kwa mtu ambae hanifahamu kama wewe. Niliendelea kufurahi kila mara nilipoona postszako humu JF, hata kuna kipindi uliwahi kupost kitanda kinauzwa kama sikosei ni 250k, sio siri nilitamani niwe mteja wako wa kwanza kabisa.
Pengine nimshukuru tu muanzisha uzi kwani hatimae amefanikisha lengo langu la kutamani siku moja upate japo nafasi ya kujua tu kuwa kuna mtu humfahamu hakufahamu ila anakupenda tu automatically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…