Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Nilimpenda yule kaka jamani nikiwa hata sijui anafananaje, nikiona ki-msg chake tu moyo wangu kwaatu naachia tabasamu mwanana, I'm thankful hata baada ya kufahamu sura yake halisi nashukuru sikujutia, We still good..!

yote mema..!!
Sema tu kwamba ana sura ngum tofaut na comments zake za kudamshi

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mtakatifu nimeona ile page.[emoji2957][emoji2957]mbona sio yeye sasa loh!!tangu siku ile nilikwambia sio yeye.

Hizo sifa alizozitoa hapo nahisi ndo za huyoo mchumba wake.

Nilikwambia mtakatifu hii kitu huwezi igundua aiseh..

Bora code bado haijaweza kufunguliwa
Hee[emoji86][emoji86]
Ramli zangu zinasngukia hapohapo.

Dada acha kunichota ili nibadili majibu ya ramli[emoji23]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ila mimi watu niliofahamiana nao humu lile zoezi la kufahamiana nikikumbuka huwa nacheka sana hahahahaha. Mmoja akaniambia BAK mume wangu ana wivu sana sasa kakutuma wewe humu unifuatlie. Hii ilitokea baada ya jamaa mmoja kuanguka shambani kwao na kuvunja mgongo na jina lake la kweli liliwekwa katika uzi uliofunguliwa ili kumpa pole na wote tulisoma naye shule ya msingi. Basi watu humu wakaanza kutaja majina ya watu mbali waliosoma shule ile ya msingi au walioishi jirani na shule hiyo. Bidada aliniogopa sana mie nikawa sina mbavu yaani nilikuwa nacheka hadi machozi 😂😂
 
mimi nilipendana na mwana jf mmoja....siku tulivyokutana physically tuliongea baada ya kuachana akaniblock....i know sikumvutia coz nina sura mbaya sana (Najijua) na wala simlaumu hata mimi ningekua yy lazima ningeblock......




Sio kupenda kwangu lakini[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Daah nimecheka kwa saut😆😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom